katuni

  1. W

    Ipe maneno katuni hii ya DW

    Katuni ya DW imeonesha inahusu hali ya kisiasa nchini Uganda kuelekea katika uchaguzi mkuu kesho huku kukiwa na malalamiko ya kukatwa kwa huduma ya internet katika nchi hiyo, Rais Museveni akipambana kubaki katika kiti cha urais. Je yapi matarajio yako kwa uchaguzi huo wakati huu muda ukiyoyoma?
  2. Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  3. PostGE2025 Katuni hii inakupa picha gani kwa wanao hubiri amani ?

  4. Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  5. katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  6. Kwenye katuni hii Masoud Kipanya anatoa ujumbe gani?

    Wakuu Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Wanabodi tusaidiane kunyambua ujumbe aliouwasilisha Kipanya kupitia katuni hii, umepata chochote au patupu?
  7. Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  8. Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  9. Katuni hii inakupa picha gani ?

  10. Wazee wa katuni za channel 10 miaka ya 2009-13 TUKUTANE

    Salamu wakuu leo nimeweka chaneli ya boing na cartoon network, nimekumbuka mbali sana show za: ben 10, chowder, adventure time, code lyoko na superman(zilikuwa Itv), amazing world of gumball, Angelo rules, scooby doo, the grim adventures of billy and mandy(billy chizi😂), young justice, green...
  11. Tupia katuni au mchoro wenye maana pana

    Weka cartoon au mchoro wenye maudhui mapana katika jamii. Ukiweza kufafanua itapendeza sana.
  12. Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

  13. Masudi anatumia nn kuchora zile katuni ? Ni vifaa vya kidigital au karatas na pen!?

    Technologist njooni mtoe majibu nilivutiwa sana na uchoraji wake
  14. Je, Katuni na Sinema Zilitabiri Shambulio la 9/11? Ukweli Kuhusu Ujumbe Uliofichwa Kabla ya Majengo Pacha Kuporomoka

    Kushambuliwa kwa Majengo Pacha ya Marekani (Twin Towers) — Tukio la Septemba 11, 2001 (9/11) Tukio la Septemba 11, 2001, ambalo pia hujulikana kama 9/11, ni mojawapo ya mashambulizi ya kigaidi yaliyotikisa dunia kwa kiwango kikubwa na kubadili kabisa historia ya usalama wa kimataifa. Tukio...
  15. Katuni ya Kipanya leo jumanne, umeielewaje? Tushirikishe

    Leo jumanne ya tarehe 08/04/2025 kipanya ametupa katuni yake. Wewe umeielewaje?
  16. Mwanzilishi wa katuni miaka ya 90 zilizotamba Courage the Cowardly kupitia cartoon network

    TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni. Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi na uundaji wa michoro, hususan kupitia kazi ya Courage the Cowardly Dog. David alileta kwa...
  17. Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11 S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸 Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔 Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
  18. Tuijadili katuni hii ya Kipanya

    Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi. Taawili Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu. Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya...
  19. Tujikumbushe kuhusu katuni ya masudi kipanya na bashe

    Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo. Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…