katoliki

  1. Megalodon

    Kanisa Katoliki ndio Nguzo ya Kiimani Tanzania

    Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure. Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni janja janja but Catholic Church means a lot to our country Kanisa katoliki linasimamia haki bila...
  2. M

    Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

    Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM? Hii ni fedheha kubwa sana.
  3. Just Pray

    Askofu Rweyongeza: Hakuna taifa litakaloweza kuiangusha katoliki

    “Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki. Warusi walijitahidi kuangamiza Kanisa Katoliki...
  4. H

    Kutengeneza vioja kwa lengo la kulichafua Kanisa Katoliki kunadhihirisha uwezo mdogo wa akili wa wapanga huo uovu

    Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
  5. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  6. U

    Wasabato je mnakubali vipi Biblia iliyoidhinish na Papa e Damasus I askofu Mkuu wa Kanisa katoliki la Rumi 382?

    Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
  7. F

    Kanisa Katoliki na Siasa

    Mwezi Novemba mwaka jana Mkutano Mkuu wa Maaskofu wa kikatoliki Marekani ulitoa tamko kulani sera za serikali ya Trump za kuwatimua na kuwapakazia wahamiaji waliokuwepo Marekani. Hii ilikuwa muendelezo wa hotuba ya Pope Leo XIV ya mwezi Januari mwaka jana kwa mabalozi waliokuwa wakiwakilisha...
  8. Titicomb

    CCM na wakata vichwa wanaotaka vita na kanisa Katoliki mmewasahau akina Komando Padre Dr. Henry Rimisho askari na majasusi wa kanisa?

    Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita. Anaitwa Dr. Henry Rimisho. Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa elimu na mengineyo unaweza kuwaogopa sana kanisa Katoliki. Jamaa Askari wa jeshi na alikuwa vitani...
  9. Analogia Malenga

    Ameandika William Shao: Kanisa Katoliki si populism

    Tangu jana hadi leo nimesoma humu hoja mbalimbali kuhusu wale "Wakatoliki" walioandamana kwenda Ubalozi wa Vatican. Nikajifunza, nikaacha niliyojifunza, halafu nikajifunza tena. Natangaza maslahi: Mimi si Mkatoliki, na sifikiri kama nitakuwa Mkatoliki baada ya leo. Nafanya tu analysis ya kawaida...
  10. comrade_kipepe

    Wakatoliki washindwa kula mbuzi katoliki

    Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana. Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI...
  11. Wakusoma 12

    Serikali Zilizojaribu Ku-override Kanisa Katoliki… Zikaanguka Vibaya

    Wapo wanaodhani Kanisa ni jengo tu. Historia inasema vinginevyo. Kanisa Katoliki si chama cha siasa, lakini likiguswa vibaya, huamsha nguvu ya wananchi kuliko risasi. Hebu tuangalie mifano ni mingi ila kwa uchache. 1. Philippines – Ferdinand Marcos (1986) Marcos alikuwa na Jeshi pamoja na...
  12. DuaZaMama

    Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  13. Q

    Askofu Stephano Musomba: Hakuna mtu anayeweza kulitisha Kanisa Katoliki

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule. Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya...
  14. Titicomb

    Askofu Kyando: Awaonya wanaojaribu kuwagawa wakatoliki asema HATUGAWANYIKI

    Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, ameonya kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki hawagawanyiki, akieleza kuwa katika siku za karibuni kumejitokeza jitihada za baadhi ya watu wanaolenga kuwagawa waumini hao, akisisitiza kuwa juhudi hizo hazitafua dafu Askofu Kyando amesema hayo...
  15. Life2

    Kanisa Katoliki limesema ukweli kwenye tawala katili na dhalimu mnoo Duniani

    Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira. Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa. Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu...
  16. MALCOM LUMUMBA

    Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  18. Kimbesa11

    Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  19. THE BIG SHOW

    Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  20. ngara23

    Mtaweza kweli kushindana na kanisa katoliki?

    Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda Kanisa katoliki Lina weledi Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia Jibu hoja zao Nani aliuwa ? Nani aliiba kura? Nani wanateka na kuuwa watu? Nani...
Back
Top Bottom