Wanawake wanapigana vita vingi. Kutafuta mume ni vita, ukimpata mume bado shida zinabaki palepale, mume hatulii, akipata visenti vyote anamaliza nje na wanawake wa kila aina. Pesa zinapotea, afya ya mume inazorota na hatari ya kupata maradhi inaongezeka.
Basi mwanamke usiwe na wasiwasi, leo...