Kutumia risasi za moto kutuliza vurugu si sawa. Hasa kwa chombo ambacho wananchi wanadhani kimeundwa kuwalinda na kuwaonyesha njia ya amani.
Hakika damu haiendi bure, roho zinazotolewa kabla ya muda wake zitaililia nchi na nchi haitakuwa sehemu salama. Ni vyema weledi na hekima ikatumika katika...