katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

    Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni. Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
  2. JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 5: Patrol inayoendelea katika baadhi ya viunga vya jiji la Dar es Salaam

    Nyongeza ajili ya wanaotaka USHAHIDI. Nilifanikiwa ku-zoom namba za gari na sura zao
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliliona hili, hatimae Leo tunaishi katika maneno yake

    Alikua mbele ya muda
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi kadhaa wajeruhiwa kwenye maandamano katika majibizano na polisi

    WAkati maandamano yakiendelea kushika kasi na kupamba moto, wananchi kadhaa wameonekana kujeruhuwa baadhi wakiwa wanaingizwa kwenye magari ya polisi huku wengine wakisaidiwa na wananchi wenzao. Hapa inatakiwa kuhakikisha mtu hakamatwi na polisi, akiumiwa asaidiwe na kupatiwa msaada wa kwanza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shetani apumzishwe tuache kumlaumu katika kila dhambi, vitu vingi tunafanya kwa hiari yetu wenyewe

    Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote, Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili. Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
  9. JamiiForums Tanzania Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

    Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
  10. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu ukutie nguvu katika mapito yako

    USHUHUDA sehemu ya kwanza 01. mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna mazuri katika mabaya?

    Japo tunatiwa moyo kuwa mambo yatakuwa mazuri wakali watuaminishao ni wabaya watenda mabaya, kuna uzuri katika ubaya?
  12. JamiiForums Tanzania Kuna neema inakuja kwa baadhi ya vijana, katika ushirikiano wa kimataifa

    Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao... Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao. Ni Kama Ile ya tasnia ya sanaa ya uigizaji walivyokwenda kule Korea... Neema hii Inaweza kua ni matunda ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mnyaka Sururu Mboro - Ni "Upuuzi" katika masomo ya historia jinsi Mjerumani "alivyogundua" mlima Kilimanjaro

    Ruka hadi yaliyomo Potsdam baada ya ukoloni "Upuuzi" katika masomo ya historia Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc Mnyaka Sururu Mboro alizaliwa mwaka 1951 na anaishi Berlin. Yeye ni mwanaharakati wa Tanzania...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika history Raila Odinga atabaki kuwa Mwanasiasa Mpinzani Bora Aliyependwa Zaidi

    GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  16. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuboresha biashara ya kitimoto, tunahitaji mapinduzi ya upikaji kitimoto katika nchi

    Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi. Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  18. W

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha siku ya 'Nyerere day' ni kauli au nukuu gani unaikumbuka ya Mwalimu Nyerere?

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
  19. JamiiForums Tanzania Msigwa: Mtandao wa X tumejadiliana nao sana hatukuelewana tumeamua kuzima katika anga letu

    Kwa mara ya kwanza, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amefunguka kuhusu sababu ya mtandao wa kijamii X (zamani Twitter) kutopatikana nchini Tanzania. "X tumejadiliana nao sana juu ya mtindo wao wa kuruhusu maudhui yasiyofaa kurushwa katika anga letu, baada ya mazungumzo ya muda mrefu...
  20. JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…