katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi zilizo katika Organisation of Islamic Cooperation (OIC) Uganda na Msumbiji ni wanachama

    Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na kijamii kati ya mataifa wa Kiislamu. OIC ilianzishwa mwaka 1969, na makao yake...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  6. JamiiForums Tanzania SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche: Vijana wizara mmepewa sasa ni kujipanga katika kukamatia fursa

    Wakuu, Ni kweli kauli hii imetolewa na makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche?.
  9. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche: Tunatambua kuna baadhi ya viongozi wenzetu (CHADEMA) wanatumika katika kuchochea hizi vurugu

    Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika kuchochea kufanya vurugu bali wakati wote CHADEMA na viongozi wake wamekuwa wahanga kwa kukanamizwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  11. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kimataifa la Nasser lashiriki katika Kongamano la Vijana wa Afrika 2025

    Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
  12. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

    Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda. Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za...
  14. JamiiForums Tanzania Natamani sana kuungana na Vijana wenzangu katika kulipambania Taifa ila.....?

    VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means. Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  18. JamiiForums Tanzania Hii hapa tovuti ya watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira tatanishi

    Tovuti hii imeanzishwa na kijana wa mzee kibao ili kusudi kuweka rekodi ya watu wanaozidi kupotea na kutekwa. Kama kuna mtu unamfahamu na ametekwa wasilisha taarifa zake kwa administrator wa tovuti hii. Jina la tovuti : Tanzania Memorial | Tunakumbuka Majina Yao
  19. JamiiForums Tanzania Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  20. JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…