Jua kali mida ya mchana kuelekea al asiri, mwamba mmoja anaonekana akiongea na simu yake ya mkononi,na hakika amezama hasa katika maongezi yake.
Wazee wa Cuba huwa hatukawii kung'amua kwamba kuna kitu hakiko sawa kwa jinsi mwamba alivyokuwa anaongea, ilinichukua sekunde zisizo zidi thelathini...