katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana waandaliwe katika mazingira rafiki ili waweze kutambua nafasi yao katika kuleta maendeleo katika jamii

    Katika ulimwengu unaobadilika haraka leo, kuwawezesha vijana ni muhimu kuliko wakati wowote. Vijana wanawakilisha mustakabali wa jamii, na sauti zao, mawazo, na hatua zao zina uwezo wa kuleta mabadiliko chanya. Hata hivyo, ili kutumia uwezo huu, ni muhimu kutekeleza mikakati ambayo inawapa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 JamiiForums ijitanue katika utetezi wa watu wenye uhitaji maalum

    Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa. Jamii Forums miaka sita...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe (Moshi) unaendelea

    Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma. Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwezesha vijana kutumia rasilimali zetu katika kutatua changamoto ya ajira

    Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa. Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza thamani Ipo haja serikali kuwasaidia vijana waweze kuongeza thamani katika bidhaa. Mfano sioni haja...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo. Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
  8. JamiiForums Tanzania Nani alitangulia kati ya Yeriko Nyerere na Nashon C Elia kwenye suala la ujasusi katika dola na uchumi?

    Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
  9. JamiiForums Tanzania Kama hutaki Kumsaidia mtu acha lakini siyo kumsaidia na kuonesha uko nae katika Shida na Dhiki zake halafu akifanikiwa unatapa kuwa Umemuinua

    Mwenyezi Mungu ni SHAHIDI kama kuna Mtu ambaye nadhani kama Watu ambao tumejitoa Kuwapigania Watu wakiwa na Maisha yao ya chini na tungelipwa Fadhila zao ( hasa Pesa ) basi leo hii GENTAMYCINE ningekuwa nafukuzana na Tajiri Kibyongo wa Simba SC kwa Utajiri. Lakini Masikini ya Mungu Mzanaki na...
  10. JamiiForums Tanzania Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Viwanda tuitakayo

    Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda. 1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali. 2. Kuwa na sera inayosimamiwa kikamilifu ili kuhakikisha waajiriwa katika viwanda wanapata ujira...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tulinde mazingira ili kuweka chachu ya maendeleo

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa yamekua yakiongezeka kwa kasi siku baada ya siku. Ikiwa yote hayo yanahitaji mazingira pamoja na rasilimali zilizopo katika mazingira husika, uhusiano mkubwa uliopo baina ya maendeleo kwa ujumla na mazingira ni mkubwa sana kiasi kwamba ni lazima tuweze...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  14. JamiiForums Tanzania Uhalali wa mashindano katika mitandao ya kijamii

    "Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
  15. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maono ya kibunifu katika sekta ya afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Utangulizi: Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha sekta ya afya na kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wake. Kupitia maono ya kibunifu na mikakati ya utekelezaji, tunaweza kufikia afya bora na endelevu kwa wote. Hapa chini ni mpango ni baadi ya maono ya kibunifu kuelekea maendeleo ya sekta ya...
  16. JamiiForums Tanzania Unafahamu chakula unachokula kinaweza kukaa katika Mfumo wa Mwili wako kwa saa 12 hadi miaka 2?

    In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten. The rate is also based on factors like your gender, metabolism, and whether you have any digestive issues that could slow down or speed up the...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka mitano ijayo Tanzania kufanye mabadiliko katika sekta

    STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4) Andiko linahusu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni; Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Watunza mazingira nao ni "watumishi" wa Mungu hata kama hawaamini katika Mungu

    Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo. Ni mpaka nilipoelewa Andiko la Mwanzo 7: 1 - 5 kwa namna nyingine ndipo "nilipowaelewa" Duniani kote...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: NHC katika Kujenga Mustakabali Endelevu

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…