katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

    Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa kuona mbali viliweza kunasa tukio hilo na kulirekodi kwenye video. Ni nini ambacho ndege hiyo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nini madhara ya talaka katika jamii?

    Hivi talaka zina hasara au faida zaidi katika jamii?
  3. JamiiForums Tanzania Askari Shahidi ashindwa kueleza maana ya Kahaba na Malaya katika Kesi ya Wanawake waliokamatwa Riverside wakidaiwa kujiuza

    Shahidi wa pili katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, ameileza mahakama hiyo kuwa waliwakamata washtakiwa hao kwa tuhuma za ukahaba kutokana na viashiria vya aina ya mavazi waliyokuwa wameyavaa na muda na mahali walikokutwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ubora wa usajiri wa vijana kwenye mradi wa kilimo wa Build Better Tomorrow (BBT) ili kuleta tija kwa vijana na taifa kiujumla

    Mradi wa build better tomorrow (BBT) Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023 Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza tatizo la ajira nchini Yafuatayo yafanyike ili kuboresha mradi huu uwe endelevu na wenye tija Kwa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

    Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

    Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza. Nyote mnakaribishwa....
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Mtazamo mpya katika tasnia ya sanaa baada ya miaka mitano

     IKISIRI Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za Ukusanyaji mapato na uandaaji wa bajeti bora katika Tanzania TUITAKAYO

    Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi 1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki: -Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania TUJE KATIKA SEKTA YA MADINI

    Ni maamuzi gani "MAGUMU" ulishawahi yachukuwa kwenye SEKTA YA MADINI ambayo hadi leo hii YAMEKUSAIDIA na unakula MATUNDA yake..
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kuongeza mapato ya ndani bila kutegemea mikopo katika shughuli za kiuchumi

    UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya kufanyika ili kuchochea uwajibikaji katika ubadhirifu kwenye ripoti za CAG ili kujenga Tanzania Tuitakayo

    Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe?

    Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe? Katika maisha ya sasa na siasa mwanasiasa anasimamia Sera za nchi mkulima anavunja Sera za nchi kumlisha mtunga sera za nchi nikiwa na maana kwamba mwanasiasa au kiongozi yeyote anasimamia Sera za nchi na kumnyima...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mkutano wa Berlin na kuvunjika kwa umoja wa waafrika katika bara letu, je tutukuze mipaka ya ukoloni bila kuungana?

    Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya katika suala la uzalendo kwa nchi zao!

    Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine. Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu kikubwa unachopaswa kufanya ni kuwaruhusu wanaotaka kuondoka katika maisha yako waondoke

    Hakuna uamuzi wa busara katika maisha yako kama kuwaruhusu wanaotaka kuondoka waondoke, hii itakupa machungu kwa muda fulani lakini baadae utapona. Usianze kubembeleza na kusaga meno kwasababu tu mpendwa wako anataka kuondoka katika maisha yako, kumbuka sio kila mtu atakuwa na wewe daima katika...
  19. JamiiForums Tanzania Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

    Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo.. kuamini...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanayotakiwa kufanyika katika stesheni za mabasi ya usafirishaji (abiria) ili kuifikia tanzania tuitakayo

    Sekta ya usafirishaji ni moja Kati ya sekta muhimu Sana kwenye maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Sekta hii inahusisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria. Sekta hii imeonekana haina mchango mkubwa katika pato la taifa kutokana na usimamizi mbovu haswa katika Stesheni nyingi za mabasi ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…