katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU), Majalio Kyara amewasihi Wananchi kutokuuza utu wao Serali za Mitaa

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Pesa inatafutwa lakini utu hautafutwi msikubali kuuza utu wenu kwa kurubunika kwa njia yoyote. Hayo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Msifiche taarifa toeni lakini mlinde amani

    https://m.youtube.com/watch?v=n0BhBYsZeyw Dkt. Grace Magembe naibu katibu mkuu OR TAMISEMI awapa ukweli waandishi wa habari na serikali kwenda kijiditali katika kuelimisha umma wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari wasambaze taarifa sahihi na hasa kipindi hiki kuelekea 27...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania CCM na CRC - Chama tawala Comoro kushirikiana

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
  5. JamiiForums Tanzania Bashungwa Ampigia Simu Katibu Mkuu Amtaka Kupiga Kambi Mafia Hadi Huduma ya Usafiri wa Kivuko Itakaporejea

    BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA. “Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi” Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 7 wa Wizara ya Ardhi

    WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za...
  7. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Yatoa Wito wa Viongozi Waadilifu Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito mzito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi waadilifu na wenye moyo wa kuwatumikia wananchi. Ametaka wagombea...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA anazungumza na waandishi wa Habari

    Muda huu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni https://www.youtube.com/live/IzvkWYUP3hA
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

    Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa CHADEMA ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa. Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel. Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza UN yawalaani Hamas - Katibu mkuu aongea kwa masikitiko unafiki umemshinda Dunia imejifunza kuwa utekaji sio tabia ya kibinadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza. "Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la Msalaba Mwekundu haliruhusiwi hata kuwatembelea mateka hao," Guterres anasema, katika hotuba yake...
  12. JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  13. JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

    Clip inajieleza wazi: Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  18. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars awe na hadhi ya Waziri, Katibu Mkuu AU na siyo hadhi ya katibu kata

    Taifa stars ni timu pekee yenye wapenzi wengi sana kuliko ilivyo kwa Simba na Yanga. Kocha yeyote ambaye atateuliwa kuifundisha timu yetu ya taifa stars lazima awe amesheheeni sifa nzuri za mafanikio huko alikotoka na hata kwetu hadhi yake iwe ya kibalozi, uwaziri au katibu mkuu African unity...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

    Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu. 1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi 2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda") 3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…