katiba

  1. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenyekiti wa Uvccm Dar anajitambua kweli? Yaani hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 ndio imemuachia huru Mbowe?

    Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. 👇
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

    Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa? Asijipende vipi mtu huyo? Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaposema ‘Watu hawali Katiba’, anapotosha kwa faida ya nani

    Kuna viongozi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wanasema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu. Katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa, ni jumla ya kanuni za msingi zilizoanzishwa na wananchi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025?

    Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau Watanzania wanaitaka Katiba Mpya au ni hofu tu?

    “Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
  7. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Gado, ni Rais Samia na Katiba Mpya

    Alipoingia madarakani hali ya hewa ilikua shwari sasa katiba mpya inamletea maumivu ya kichwa.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaopotosha maana ya Katiba, eti Watu hawali Katiba, Walaaniwe

    Nimesikia viongozi wengi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wakisema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu. Katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa, ni jumla ya kanuni za msingi zilizoanzishwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kutana na maoni ya kushangaza ya Katiba mpya kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba

    Una lipi la kusema?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukiweza kubadili hivi vitu kwenye katiba yetu inatosha, Rais Samia anaweza

    Kwa kuzingatia usalama wa nchi yetu na usalama wa kuendesha nchi nashauri kama Mama ataridhia mabadiliko ya katiba mambo haya yanafaa kuongezwa tu kwenye katiba iliyo na machache kuondolewa. Kipengele cha Rais akifa akiwa madarakani tubadilishe ISEME RAIS AKIFA MADARAKA MAKAMU WAKE ASHIKILIE...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

    #TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa. #TukutaneAprilMosi #MkutanoMkuuMaalumDodoma
  12. JamiiForums Tanzania Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

    Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

    Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana. Shughuli hii inahitaji watu, tena...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania wanahitaji Katiba Mpya?

    Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya? Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa. Tukishajua wako wangapi ni lazima pia tujue pia muamko wao pia. Kupitia muamko huo, tutapata kujua uelewa wao wa katiba iliyopo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya si kwa Utashi wa Zitto, Mukandara wala Samia

    Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba. Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu. Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea au awaye yote kwamba wanaweza kujimilikisha mustakabala wa msingi wa nchi hii. Labda kama wanataka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge? Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha...
  17. JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam. Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo, ilikuwaje CHADEMA wakasusa katikati ya bunge la katiba?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu kubwa ya kususa ilikuwa ni kutokubaliana na CCM juu ya muundo wa Mungano, wakati CHADEMA wakitaka...
  19. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

  20. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…