katiba ya ccm

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kuna viongozi hawana uelewa wa katiba, sheria, kanuni, na taratibu. Elimu iendelee kutolewa, na kila mmoja amfundishe mwenzake

    Kuna baadhi ya viongozi wana vyeo ila hawazijui katiba, sheria za nchi, kanuni, miongozo, na taratibu. Elimu iendelee kutolewa, na kila mwenye kujua jambo amfundishe mwenzake. Tusome Katiba ya CCM 1977, Toleo 2022, Uk. 02, Ibara ya 05(04). Wanachama wa CCM tunasisitizwa kusimamia utekelezaji wa...
  2. G

    Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  3. Roving Journalist

    Amos Makalla: Wananikumbusha majukumu yangu, waambieni ‘nayaelewa’

    Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”. Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
  4. THE FIRST BORN

    Je, Katiba ya CCM inamtaka kila Mwanachama wa CCM kumsifia Rais aliye madarakani?

    Habari! Nilikua napita Republic of Twitter nikakutana na Reply ya Kigwangala akisema kua CCM wote ni utamaduni wao kusifia Rais haijalishi vipi. Sa najiuliza kama watu walio wengi Bungeni kazi yao ni kusifia tu na sio kukosoa je hawa watu wataleta mabadiliko kweli? Kumbe hizi Mama anaupiga...
  5. Msanii

    Katiba ya CCM ni ya kibaguzi

    Viongozi wa dola kupitia CCM kuanzia Wabunge, Madiwani na Wenyeviti Mitaa, Vijiji na Vitongoji hawaruhusiwi kugombea nafasi yeyote ndani ya chama. Ingawa wanaingia kamati za siasa ndani ya ngazi maeneo yao. Katiba ya CCM imewawekea utaratibu wa mtu mmoja nafasi moja. Lakini ukiangalia katiba...
  6. B

    Uchambuzi- Haya ndiyo maeneo yaliyorekebishwa kwenye katiba ya CCM ya mwaka 1977

    UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020. Kama...
  7. D

    Naomba kujua vipengele vya Katiba ya CCM vilivyofanyiwa marekebisho

    Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
  8. peno hasegawa

    Dodoma: Kofia mbili kuchomoza mabadiliko CCM

    CCM imeitisha mkutano mkuu maalumu kufanya marekebisho ya katiba yake kwa kuwapa majukumu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), kuwarejesha kwenye NEC makatibu wa mikoa na kofia mbili kwa nafasi za uongozi wa juu. Haya ni mabadiliko ya 17 kufanyika ndani ya chama hicho kilichoanzishwa...
Back
Top Bottom