This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Rais samia amefanya mengi yakukumbukwa, kama mkuu wa nchi lakini pia kama mwenyekiti wa ccm.
Jambo kubwa sana ndani ya chama, ni kusimamia mabadiliko ya katiba ya ccm kupanua wigo wa demokrasia. Kupitia mabadiliko haya tumeshuhudia idadi ya wagombea kuongezeka katika majimbo.
Kupanuka kwa...
Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyoridhiwa na kuidhinishwa mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali jana, yamechochewa kwa kiasi kikubwa na maoni ya wana CCM wenyewe, kwa kuongezwa wigo zaidi kwa watia nia wa ubunge na udiwani, ili wajumbe wapate nafasi nzuri zaidi ya kuwapima watia nia hao na...
Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ
Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua...
Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa.
Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!.
Katiba ya CCM Ibada ya
100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano
Mkuu wa CCM wa Taifa utashughulikia
mambo yafuatayo:-
(a) ----
(b) Kuchagua jina moja la Mwanachama
atakayesimama katika...
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa...
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...
Kufanya reform ya KATIBA ya nchi...
Kabla ya kutunga kanuni ndani ya ssem lazima kukaa na kufikiri
tujiepushe na uvunjifu wa katiba ya CCM na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tukilazimisha kwa maslahi binafsi kupitisha kanuni, lazima tujue kuwa kinachotakiwa kufuatwa ni:
Katiba ya SSEM
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm alitakiwa kuchukua fomu ya kugombea kisha vikao vimjadili na kupitisha jina lake, mtindio huu pia...
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa.
Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi.
Hilo ni jambo linaonyesha kuna taratibu za chama ukitaka kugombea uteuliwe kua mgombe urais. Nchimbi ameongoza uhuni kwa kukiuka...
Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
"Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.