katiba mpya

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nia ya Reforms na Katiba Mpya kwa Ujumla

    Naomba niwaulize wale ambao wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms, je, wapo tayari kwa reforms na katiba mpya kwa ujumla hata kwa baadae baada ya uchaguzi wa mwaka huu? Hii ni kwa sababu CCM wanasema kwa sasa muda uliobaki hautoshi na hawataki kuongezewa muda wa kukaa madarakani ili wafanye...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya pekee haitoweza kuleta mabidiliko yanayohitajika kwenye taifa kama mamlaka hazitoacha pia na uchawa

    ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo. Uchawa kwenye mamlaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

    Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki. Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je, unaunga mkono hoja ya kuongezewa muda Rais aliyepo mamlakani Ili kusimamia Reforms kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi baada ya 2025?

    Helow! Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka. Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Habyarimana na madai ya katiba mpya

    Unapoitazama nchi ya Rwanda leo huwezi kuamini kwamba kuna wakati ilitawaliwa na Wahutu tangu ilipopata uhuru mwaka 1962. Nchi hiyo iliyokuwa koloni la Ubeligiji ilipata uhuru wake na kukabidhi kwenye utawala wa kiraia chini ya Rais Gregoire Kayibanda aliyekuwa mwanamapinduzi kupitia vuguvugu...
  6. JamiiForums Tanzania Ikiwa mchakato wa Katiba mpya wa awali ulikwama kwa ubinafsi wa viongozi wa vyama vya siasa, kuna haja gani ya kuanzisha michakato mwingine?

    Kwasababu bado dhana na hali ya kususia imetanda miongoni mwa vyama vya siasa, ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa ambavyo vimeamua kujitenga na michakato ya kidemokrasi na kujikita kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wa vyama hivyo hususani tunapoelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya kudai katiba mpya yashindwa kusikilizwa Tabora

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogoTabora imeshindwa kusikiliza kesi ya madai mchanganyiko ya kuomba kurudishwa kwa mchakato wa mabadiliko ya upatikanaji wa Katiba mpya inayoikabili Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi zamani ikifahamika kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Mwanasheri Mkuu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Katiba Mpya si jambo la mara moja, CHADEMA wanaangalia Uchaguzi tu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA amesema vyama vya upinzani vitapata katiba mpya wakiwa bungeni sio kususia uchaguzi wenye

    Mwenyekiti wa bavicha amesema vyama vya upinzani vitapata katiba mpya wakiwa bungeni sio kususia uchaguzi kwenye ukurasa wake wa X (Twitter)
  11. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  12. JamiiForums Tanzania Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya Wazi kwa Othman Masoud Othman makanu wa kwanza wa Rais ZNZ na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Lisaidie Taifa kupata katiba mpya

    Ndugu Othman Masoud Othman Assalam aleikum. Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla. Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kisa Lissu na Katiba Mpya, CCM na CHADEMA watupiana maneno ''Vijana wa CCM wameishia kupiga makofi na kubeba mabegi"

    Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kasi ya wataka Ubunge kuja na mapambio kuhusu Rais Samia, ni uthibitisho tosha kuwa anayewaweka Madarakani ni Rais sio Wananchi !!. Katiba mpya lazima

    Haingii Akilini Kila kukicha, utasikia Huyu Kaandaa Dua ya kumuombea Rais Samia. Huyu Kaandaa Kongamano la kumpongeza Rais Samia. Huyu Kaandaa Washa ya wakina Mama kumsemea Rais . Huyu anakuja na Hala Mamaaa Huyu anakuja na Mama asemewe Rais anaalikwa hadi kwenye matamasha ya uchekeshaji...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba

    Na Askofu Bagonza RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU: Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM. Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM, lakini HALAZIMIKI kurithi misimamo ya JPM kuhusu chaguzi zetu na mahusiano mabaya na vyama vya upinzani...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba za Luhaga Mpina na Tundu Lissu, zimetuonyesha watanzania Umuhimu wa Katiba mpya Ili kuipata Tanzania mpya

    Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa. Lissu yupo...
  18. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa KATIBA MPYA: Mkuu wa Itifaki Serikalini avaa nguo za CCM

    Kuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa. Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya kiasi cha kusikitisha na kuogopesha. Mkuu wa Itifaki Serikalini ( Chief of Protocol) ni cheo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kwanini CCM hawawezi kukubali KATIBA MPYA inayoweka nguvu kwenye mifumo kuliko Wanasiasa.

    1. Katiba hii imewapa nguvu Wanasiasa na Wateuliwa wao kuamua chochote bila kuhojiwa na kuwajibika kwa yeyote. Hili linawawezesha CCM kutumia fedha za Umma kwa shughuli zao bila kuhojiwa na kuambiwa lolote na yeyote. Leo hii kwenye Halmashauri zetu Mkurugenzi wa Halmashauri anaweza pewa amri na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…