Miaka inavyosogea ndivyo mabadiliko ya digitali yanazidi kushika kasi, mabadiliko hayo yanaenda sambamba na mabadiliko ya vyakula, vinywaji na dawa zinazotumiwa na binadamu.
Hivyo ndivyo ambavyo magonjwa yanayohusu afya ya uzazi yamekuwa yakiongezeka, hii ni kwa jinsia zote Wanaume na Wanawake...
Itambulike kuwa Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa Nchi katika ukanda wa Afrika Mashariki ambayo limefuata nyayo za Kenya na Rwanda, kuweka katazo la matumizi ya Mifuko ya plastiki na amri hiyo ilisha anza kutekelezwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa ya kulinda mazingira dhidi ya bidhaa za...
Wanajamii forum,
Toka wiki iliyopita kuna kamatakamata ya bajaji kwa kigezo kwamba kuna katazo la bajaji zisizoendeshwa na walemavu kuingia mjini.
Binafsi sijasikia katazo Hilo naomba anayejua zaidi tujuzane.
Michezo yote ya kubahatisha (kamari) ikiwemo betting, slot machines inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Michezo ya Kubahatisha namba 4 ya mwaka 2003 sura ya 41 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019.
Lakini, ifahamike kwamba mtoto haruhusiwi kucheza kamari ya aina yoyote.
Mtu yeyote atakaye...
Mbali na kuzuwiwa kwa vyakula kuuzwa mchana wa ramadhani katika baadhi ya maeneo, lakini bado zuio hili halijatendewa haki.
Waislamu tunaamini kwamba ukifunga basi hata ukila ile punje ya karanga tu na ukameza kwa makusudi basi umefungua sio mpaka ule biriani au urojo bakuli zima.
Sasa ni...
Ni Jumatatu tulivu tenaaa
Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.