The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.
Sekta
Kipengele / Mradi
Kiasi / Idadi
Mafanikio / Maelezo
Mifugo
Milipuko ya magonjwa ya wanyama
72% (2021) → 15% (2025)
Kupungua kwa milipuko ya magonjwa
Mifugo
Viwanda vya vyakula vya mifugo
Viwanda 2
Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
Sekta |Wakala
Kipengele
Urefu | Idadi
Gharama (Tsh)
Hali | Tarehe
TANROADS
Mtandao wa barabara
1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35)
-
-
Barabara Kimkakati
Mpanda–Tabora
352 km
273,829,309,854.29
Imekamilika
Barabara Kimkakati
Mpanda–Sitalike
35.9 km
38,042,000,000
Imekamilika...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa na gharama ya Shilingi 116 Bilioni, ukiwahusisha ujenzi wa njia ya 132KV kutoka Tabora hadi Katavi...
Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku.
Wametoa pongezi hizo kijijini hapo Agosti 12, 2025 wakati wa zoezi la...
TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana.
Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
Anonymous
Thread
asubuhi
bila
bila taarifa
habari
jioni
katavi
kuhusu
malalamiko
mara
mimi
mkoa
mkoa wa katavi
mpanda
taarifa
tanesco
umeme
wadau
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa.
Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
Mkoa wa una majibo Matano; Jimbo la Mpanda Mjini, Jimbo la Katavi, Jimbo la Tanganyika, Jimbo la Katavi na Jimbo la Nsimbo yote naona kuna ukimya unatawala kuhusu majibu ya Kura za Maoni kuhusu wanaowania Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nini kinaendelea?
Pia soma ~ Nini kinaendelea...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya uendeshaji wa biashara, ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya nyama bila kushirikisha mamlaka husika...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa...
Baada ya Member wa JamiiForums.com kutoa andiko Julai 16, 2025 akielezea changamoto za uchafu iliyopo kwenye Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda hasa upande wa Vyoo vya Wanaume ambavyo vilionekana kujaa, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Hoza Mrindoko amefika katika stendi hiyo na kueleza kuwa...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2
Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali wilayani Kibondo, Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2
Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
Mwanamke mmoja aliefahamika kwa jina la Getrude Silivesto miaka 38 mkazi wa kijiji cha Kaulolo Kata ya Nsekwa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi amefariki dunia kwa kuchomwa na kitu kinachosadikiwa kuwa na ncha kali sehemu ya mbele ya sikio la kushoto na upande wa shingoni
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg
Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya ziara Mkoa wa Katavi katika Wilaya ya Tanganyika eneo la Bandari ya Karema, ambapo wametembelea na...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Idd Kimanta amewataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi ikiwanipamoja na kuchagua viongozi wanaofaa kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo.
Kimanta ameyasema hayo wakati akizungumza na wa umini wa dini ya kikristo alipokua akiongoza...
Daraja la Milala Shongo lililopo Kijiji cha Milala, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni tatizo sana kwetu Wananchi wa Milala.
Sisi wakazi wa Milala tatizo hili limetuchosha kwa sababu limedumu kwa muda muda mrefu sana na kuwa kikwazo cha mawasiliano na kufanya shughuli zetu za kiuchumi...
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Wakuu,
Lazima utafute namna ya kumsifia mama, la sivyo ugali utakata! :KEKLaugh: :KEKLaugh:
===
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi kuendelea kumuombea na kumuunga mkono Rais Samia ili aendelee kitimiza maono ya kusogeza huduma bora za kijamii kwa wanakatavi na...