katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  2. H

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ameanza ziara katika mkoa wa Katavi ambapo ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 uliopo Manispaa ya Mpanda. Pia, Dkt. Mwigulu ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kagwira – Karema (Kilometa 112) katika Halmashauri...
  3. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  4. H

    Dkt. Mwigulu atembelea ofisi za CCM mkoa wa Katavi

    DKT. MWIGULU ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA KATAVI Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ametembelea Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi na kusalimiana na viongozi wa Chama hicho...
  5. H

    Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

    Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  6. R

    Mwenyekiti CCM Katavi: Unaazimisha pikipiki ya Samia kwa Upinzani halafu tukusamehe?

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali. Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
  7. Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  8. GE2025 RC Katavi: Wananchi msijipange, msihamasishe, msishiriki wala msiwezeshe maaandamano yasiyokuwa na amani

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi wa mkoa huo kujiepusha na vitendo vya kuandaa, kuhamasisha au kushiriki maandamano yasiyo halali, badala yake waendelee kudumisha amani na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza...
  9. GE2025 Oktoba 29 natarajia Mikoa ya Ruvuma, Geita, Songwe, Singida, Rukwa na Katavi iongoze Maandamano

    Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania. Wananchi wa mkoa huu wana umasikini usioelezeka. Mikoa ya Geita, Katavi, Songwe na Singida ndo mikoa...
  10. GE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Katavi vyashiriki mazoezi ya pamoja

    VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama Oktoba 3, 20205 wamefanya mazoezi ya matembezi (Route Match) kwa kutembea zaidi ya kilomita 10 kuzunguka maeneo mbalimbali Manispaa ya Mpanda...
  11. Katavi: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika yasema imetoa mikopo kiasi cha Tsh Bilioni 1.1

    Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wa Tarafa ya Karema, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao, Serikali imefafanua, Kusoma zaidi kuhusu Wananchi hao bofya hapa ~ Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika...
  12. A

    Nilivyonusurika kuuawa baada ya kwenda kupora ardhi ya maskini huko Katavi

    Nimeangalia document zangu hapa nilizofoji majina ya watu ili nimililoshwe ardhi ikanikumbusha hii kitu. Tukio hili ni la kweli na lilinitokea mwenyewe miaka ya 2006. Nikiwa kijana mdogo na Nikiwa nimemaliza chuo kikuu mwaka 2006, nikaajiliwa serikalini nikiwa zonal ya ofisi yetu pale Mbeya...
  13. GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Katavi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  14. Y

    RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  15. Y

    RC Mwanamvua Hoza Mrindoko: Kipindi cha Rais Samia Katavi tunazalisha maziwa Lita milioni 23 kutoka Lita milioni 19 za 2021

    Sekta Kipengele / Mradi Kiasi / Idadi Mafanikio / Maelezo Mifugo Milipuko ya magonjwa ya wanyama 72% (2021) → 15% (2025) Kupungua kwa milipuko ya magonjwa Mifugo Viwanda vya vyakula vya mifugo Viwanda 2 Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
  16. Y

    RC KATAVI: Rais Samia amekarabati Reli ya MG kutoka Tabora -Katavi kilometa 210 kwa shilingi bilioni 379.40

    ==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
  17. Y

    KATAVI FULL PICTURE : Wapokea shilingi bilioni 921.3 za barabara sasa mtandao wafikia kilometa 4,000

    Sekta |Wakala Kipengele Urefu | Idadi Gharama (Tsh) Hali | Tarehe TANROADS Mtandao wa barabara 1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35) - - Barabara Kimkakati Mpanda–Tabora 352 km 273,829,309,854.29 Imekamilika Barabara Kimkakati Mpanda–Sitalike 35.9 km 38,042,000,000 Imekamilika...
  18. Y

    PICHA: Rais Samia aiwasha KATAVI

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa na gharama ya Shilingi 116 Bilioni, ukiwahusisha ujenzi wa njia ya 132KV kutoka Tabora hadi Katavi...
  19. R

    Kaya 3,255 kunufaika na Majiko ya Gesi Katavi

    Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku. Wametoa pongezi hizo kijijini hapo Agosti 12, 2025 wakati wa zoezi la...
  20. A

    KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…