kataa

The Supreme Court (Filipino: Kataas-taasang Hukuman; colloquially referred to as the Korte Suprema) is the highest court in the Philippines. The Supreme Court was established by the Second Philippine Commission on June 11, 1901 through the enactment of its Act No. 136, an Act which abolished the Real Audiencia de Manila, the predecessor of the Supreme Court.The Supreme Court Complex, which was formerly a part of the University of the Philippines Manila campus, occupies the corner of Padre Faura Street and Taft Avenue in Manila, with the main building directly in front of the Philippine General Hospital.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

    Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
  2. JamiiForums Tanzania Kataa kua mjinga

    Nawasalimu wote. Habari ya wakati huu?!. Moja kwa moja kwenye mada. Ujinga sio tusi, bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu yeyote, wakati wowote. Ukiambiwa wewe ni mjinga usilaumu kua umetukanwa bali jitafakari. Mohamed Dewji (Mo) aliwahi kusema "unaweza kua mjinga kwa kufikiri ujinga."...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Video fupi: Yesu atoa ushauri kwa team kataa ndoa

    Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa" Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika. https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
  4. JamiiForums Tanzania Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

    Hivi huwa najiuliza what do men live for? Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame? Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment. Nothing beats a better family, a better wife, with children. No money, no accolades, no fame can ever buy it. Chekini real men wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO DIT: Wanafunzi tunahitaji Uhuru wa Kielimu, hatutaki Uchawa!

    KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kiu kitu cha kwanza kujua: Sio kila anayekupa maji unywe, mengine kataa au yamwage

    Kiu ya Maisha Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi hutunuku "maji". Maji yenye Sumu Lakini si kila anayekupa maji anakutakia mema. Kuna maji ya bure...
  8. JamiiForums Tanzania Yupo Mungu aliyembariki mtanzania aliyeua 518 ila yupo Mungu atakae muhukumu mtumishi atakae kataa kuudumia wanzania,pasipo kuwaua?;

    Leo nimkusikia ukimwapisha yule waziri uliyemtoa upinzanzani wale wanao kwenda kukaimu tamesa, Umenena vyema yakuwa walio pewa nyadhifa hizo watambue ni dhamana tu. Wasipowatumikia wanzania wajiandae kulaaniwa na Mungu, SWALI chokonozi aliyetoa amri watu mia 518 kuuwa mbona tunae na tunatambae...
  9. JamiiForums Tanzania Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

    Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina... Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga. Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
  10. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

    Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu. Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo. Ndoa...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka kwa mwanaume. Wanawake wa leo sio bikira, sio watiifu. Kwahiyo tuelewane hapa wanawake ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

    Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana. Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji. Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si...
  14. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

    Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika. Aliandika 👇👇👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  16. JamiiForums Tanzania Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

    Let's set feelings aside and go with the facts. Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu? Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna watanzania bwana eti kataa baiskeli uinusuru tanzania eeeeti

    Nouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Ndoa ni Jela ya Wanaume? Je, walioko ndani wanatamani kutoka?

    Kijiweni hapa Nyasaka! Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke. Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na mwanamke sababu wengi hawaeleweki nini wanataka. Nilipowauliza swali vijana waliooa walisema ingekuwepo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mgombea Urais wa CCM anavyopitishwa

    GT Kikwete na Samia waliogopa nini? Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana unadhani like seriously?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…