Wajomba kuna uncle wangu ameowa huku ukanda wa pwani ni mwaka wa nne now hukuna mtoto.
Mwanamke hataki kushika mimba wala kuzaa naye mjomba anasema bado time. Afu kibaya kuna location kapin Mme kufika
Pesa ipo ameikuta na zingine wamepata wotee. Sasa shidah ake itakuwa nn wakuu.
behind the...
Let's set feelings aside and go with the facts.
Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?
Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
Kijiweni hapa Nyasaka!
Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke.
Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na mwanamke sababu wengi hawaeleweki nini wanataka.
Nilipowauliza swali vijana waliooa walisema ingekuwepo...
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.
Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu.
Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
Wakuu ukifatilia huu upuuzi tulioletewa na hawa watu wa nje ya afrika, utagundua kuna mambo mengi ni ya uongo uongo sana. Tunahitaji kukataa kuwa manipulated.
Nimekuwa nikifatilia uongo wa Biblia kwa muda mrefu sana. Ni kitabu ambacho kina controversy kupitiliza. Kuna versions sio chini ya 100...
Za ijumaa wakuu,
Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe
Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
Napenda kuchukua dakika chache, kabla hamjaruka tena kwenda "self-care vacation" Zanzibar, kuwaeleza maneno machache yenye uzito wa mawe ya Mbudya kisiwani na utani wa nyanya wa Tandale.
Tumejua mnaendelea kukataa ndoa kwa visingizio vya;
Wanaume wote ni mbwa 🙄
Wanawake wa siku hizi wanapenda...
Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu:
Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu.
Mnasema ndoa ina kelele?
Basi tuambieni single life haina shida ya upweke usiku?
Au haina pressure ya kulipa kila kitu mwenyewe...
Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao."
Je, kweli wana akili...
Awali ya yote natumai mu buheri wa afya..
Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!.
Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza .
Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa .
"https://www.facebook.com/share/v/12HFo54gqsc/"
Mimi ni kijana wa miaka 27 na siku kadhaa. Ni member wa team KATAA NDOA.
Sina mahusiano ya kimapenzi na demu yeyote.Na focus zaidi kwenye shughuli zangu za kimaisha rather than girls.
Sasa Nina hili tatizo kichwani.
Kila wakati mawazo ya fantansty sex yananijia.Mara nawaza nafanya mapenzi na...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria
Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania
Ndoa ya mke mmoja na mume...
Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako.
Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha.
2️⃣ Kwa miaka mingi, harakati za kumwinua mwanamke zilihamasisha elimu, ajira, na haki za wanawake, jambo...
Mfalme amesema: “Anayeonywa mara nyingi akawa mkaidi, ataangamia ghafla asipone tena.”
Naongea na wewe, unayepiga kampeni ili kuwafanya watu wakatae ndoa. Pole sana kwa changamoto ulizokutana nazo, zilizokusababishia “ugonjwa” wa kupiga kelele usiku na mchana: “kataa ndoa, kataa ndoa.” Unapiga...
Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa.
Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini.
Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.