Kasulu Town is the second largest town in Kigoma Region, the first one being Kigoma-Ujiji municipality, also the thirteenth most populous town in Tanzania with a population of 208,244 as of 2012.
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini.
Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa kikao, hivi tunaanza mwaka wa pili sasa hakuna sababu maalumu ya kutothibitishwa.
Ukihoji sana...
Huu ni umati wa watu waliojitokeza katika kongamano la kuombea uchaguzi mkuu 2025 utakaofanyika oktoba 29 lililoandaliwa na baadhi ya taasisi za kidini katika mji wa kasulu mkoani kigoma leo septemba 9, 2025 kwa lengo la kuombea amani, utulivu na kutoibuka kwa vurugu zozote wakati wote wa...
https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc
Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.
Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
Haijulikani Daniel Nsanzugwako katokea wapi dakika za jiooni. anakaba Hadi penati. Wajumbe wanalalamika Prof Bahili sana. Toka atoe mitungi ya gesi (kilo 6) hajarudi tena
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Theresia Mtewele, amewataka Wananchi wa Wilaya hiyo kutunza mazingira ya vyanzo vya Maji ili kuendelea kupata Maji safi na salama.
Mtewele amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa kinara wa kuhakikisha miradi mbalimbali ya Maji inatekelezwa...
Zaidi ya nyumba 10 katika mtaa wa mkombozi kata ya murusi halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimebomoka na nyingine kuezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha oktoba 29 mwaka huu.
Baadhi ya wananchi wa mtaa wa mkombozi wakieleza namna walivyoshuhudia upepo mkali na...
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani.
Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake
Inakera sana
TANESCO makao makuu tuna uhakiaka hamna taarifa na hizi hujuma tunazofanyiwa na uongozi wa...
G E N E R I C P O S T D E S C R I P T I O N
SECTION 1
Position Information
VN
IOM/KSU/041/2024
Position Title
Senior Driver- I Position
Position Grade
G-3
Duty Station
Kasulu, Tanzania United Republic Of
Duration
Position Number
1 Year Fixed-Term Contract with possibility of...
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu.
Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza.
Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
Anonymous (381e)
Thread
amani
bunifu
eneo
kasulu
kilimo
kimya
lini
majibu
polisi
tangazo
wanatoa
wapo
wazo
wizara
wizara ya kilimo
Ndg. Zitto kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo akiongea na wananchi wa Kagerankanda, Kasulu vijijini amedai kuwa walimwekea mtego wa rushwa afisa wa Wakala wa Misitu Tanzania
Katika msitu wa Makere Kusini ukiitizama mipaka iliyokuwepo mwaka 1956 na hivi sasa pori la akiba limeingia kwenye...
Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea.
Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania...
Wale watu wa vyombo na Live band kwa mji wa Kasulu basi Gronecy ni fire. Ila kwenye chakula hamna kitu majanga order zinachelewa unaagiza chakula unapata ndani ya masaa mawili mpaka matatu. Kama una njaa na unategemea ule vyombo utapata madonda ya tumbo.
Jirekebisheni Restaurant kubwa kama...
BILIONI 9.45 ZITAPELEKWA KASULU KUPENDEZESHA MJI: WAZIRI KAIRUKI
OR -TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali kupitia miradi ya kupendezesha miji (TACTIC), itapeleka shilingi bilioni 9.45 katika bajeti ya mwaka wa fedha...
Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje?
Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini.
Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
Jeshi la Polisi la Mkoani Kigoma limethibitisha kuwa, Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha wamevamia nyumba tatu katika Kijiji cha Nyamidaho wilayani Kasulu Mkoani Kigoma na kumuua kwa kumpiga risasi Mfanyabiashara Daglas Kingunyi, na kupora fedha na bidhaa mbalimbali...
Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.
Chanzo: Nipashe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.