kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa kasi kwa matumizi ya Plasiki zilizokatazwa; Nani mnufaika?

    WanaJF, Naomba leo kuweka hili jambo hapa. Wizara inayohusika na mazingira wanakaa kimya kuhusu uchafuzi wa mazingira hasa mitaa ya miji. Plastiki laini hata ambazo zilikatazwa na Waziri zimerudi kwa kasi mtaani. Mbona waziri mhusika au idara husika haichukui hatua yoyote? Au wanasubiri mpaka...
  2. JamiiForums Tanzania NACTVET: Baraza limeongeza kasi ya kushughulikia maombi yote ya AVN Number kwa dharura

    Mara baada ya Mwananchi kuwasilisha malalamiko kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu changamoto ya kukosekana kwa Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) kwa Watu waliohitimu ngazi ya Diploma na hivyo kukwama kufanya maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali...
  3. JamiiForums Tanzania Mwendo kasi 'Dar bus Transit' kama Tazara na SGR kua white elephant project kutokana na ubinafsi

    ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya 1990. Miji ya kwanza kujengwa rapit transit ilikua kule amerika ya kusini Curitiba Brazil na Bogota...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa kimara mjitahidi kutunza mwendo kasi hizi zikifika nchini

    https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
  5. JamiiForums Tanzania Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Viwanda ili vikue kwa kasi na kudumu havihitaji huruma za kibinadamu

    Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi Kuweka minimum wages Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani...
  7. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendo kasi

    Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii. Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu. Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo. Nimejuta kukata tiketi mara Nyingi huwa matumia kibaskeli Changu Leo nimejichanganya.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mitano ya Magu na mitano ya Samia ipi imeenda Kasi zaidi?

    Salaam, Wazoefu husema kuwa miaka huwa inatofautiana urefu, japo Mimi sikubaliani nao maana siku ni zile zile, Labda hili naweza kukubaliana nalo, kwamba, siku au mwaka ambao umepitia shida au taabu huenda Pole Pole sana, kwamba unapopitia taabu kiuchumi, kisiasa,kijamii, siku na miaka hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

    UTANGULIZI, Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema, Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano...
  11. JamiiForums Tanzania JWTZ lipewe mradi wa Mabus ya Mwendo Kasi liuendeshe , Likopeshwe MaBus , hapatakua tena na Uhuni kama huo unaoendelea !!.

    Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!. Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!! Naamini kupitia JWTZ Huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Uislamu wa madhehebu ya Shia unaenea Kwa Kasi ya ajabu Sana

    Zamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee. Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia. Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara. Tafiti za kweli na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini TANROADS wanajenga kituo cha mwendo kasi eneo la Flyover Mwenge?

    Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction. Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
  14. JamiiForums Tanzania Mwendokasi Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara pekee

    Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara. Kwamba mtu atumie usafiri mwingine kufika gerezani kutoka anakotoka ama kimara kupata card tena arudi alikotoka ama aende anakoenda? kwanini hizo card zisipatikane katika kila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

    Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Dunia kuzunguka jua yaongezeka, siku kadhaa kuwa fupi Julai, Agosti 2025

    Kwa miezi ya Julai na Agosti 2025, Dunia inatarajiwa kuzunguka kwa kasi zaidi, na kusababisha siku kuwa fupi kidogo. Hasa, siku tatu zinatarajiwa kuwa fupi zaidi: Julai 9, Julai 22, na Agosti 5. Katika siku hizi, urefu wa siku unaweza kupunguzwa kwa milisekondi 1.30, 1.38, na 1.51 mtawalia...
  17. JamiiForums Tanzania Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  18. JamiiForums Tanzania Treni ya Mwendo kasi (SGR) Yaanza huduma ya kubeba mizigo

    Hakika kazi imeendelea. Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia. Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

    Salaam! Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako. Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa. 1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri. 2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Fitch Rating, Tanzania yaizidi Marekani kwa kasi ya Ukuaji wa Uchumi

    KAMPUNI ya kimataifa ya Fitch Rating inayojihusisha kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa, imeithibitisha Tanzania kuwa na uchumi thabiti wenye uwezo wa kukopesheka katika masoko ya mitaji kimataifa. Kupitia taarifa ya kampuni hiyo iliyochapisha hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…