Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa.
Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume.
Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi.
Aidha, zamani binti...