karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. Karia Hujaacha Matusi tu?

    Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na...
  2. TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

    Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallace Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la...
  3. Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

    Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm. Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu. Sasa...
  4. GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

    Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu. Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti...
  5. TFF: Bei ya VAR ni Sh Bilioni 14.5, kamera ziwe 38, kila mechi timu zinalipia Sh milioni 7

    Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Haya hapa ndiyo aliyoyasema Karia: “Unajua gharama za VAR? Sawa...
  6. Wallace Karia simama imara. Kuna watu wanakusaka kila pembe ili mradi tu

    Kinachoendelea ni kwamba kuna genge linaloongozwa, au kama si kuratibiwa na (Mdau mmoja wa michezo mkubwa kutoka radio iliyoko Maeneo ya DARAJANI Barabara ya KAWE). Kwa kutumia watu wanaopatikana au kwa mgongo wa club moja kubwa hivi hapa nchini yenye jina la Mnyama wa Pori. Wanatumia kila...
  7. M

    TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

    Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na rushwa wachunguze mkataba katika ya TFF na TV moja kurusha live matangazo ya ligi kuu tena kwa miaka 10. Gharama walizolipa ni takriban billioni 200 na ushee. Duniani kote hakuna TV moja inayopewa haki bila ya kuzishindanishi tv...
  8. Karia anapaswa kuliwa kichwa mapema, kabla hajatufikisha pabaya zaidi

    Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za mchezaji mmojammoja kama Samatta na Msuva ni nini kingine ambacho sisi kama Taifa tunaweza kujivunia...
  9. Hawa ni Referees wa AFCON,waamuzi wa TFF wabaki ligi ya Karia

    Marefa wetu wa hovyo huwezi kuwakuta
  10. M

    Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  11. TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

    Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa. Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia. F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake...
  12. Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  13. Karia apita bila kupingwa, mmeelewa nilichoandika sasa

    NILICHOANDIKA Kabla ya uchaguzi na nini kinaenda kutokea uchaguzi wa TFF ndicho kimefanyika. Nilisema watapitishwa kadhaaa mwisho mtasikia ama wamejitoa /ama waliopita nae hawana vigezo ndicho kimetokea. Nitarudi baadae. Rais mteule TFF HONGERA
  14. Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  15. N

    Karia na TFF wasipowafanyia fitna Kambole na Djuma Shaban itakuwa balaa sana

    Sisi sote ni mashahidi jinsi wallace karia na TFF walivyokuwa wanawazuia kina yikpe,sarpong na wachezaji kadhaa nyota wa kigeni kufunga magoali na kusababisha wakose magoli ya wazi huku wakiwabeba wachezaji wa kiwango cha kawaida mno kama cham,kagere,luis jose waonekane wana shine. Wana...
  16. Hakuna Kiongozi bora kama Rais wa TFF Wallace Karia, hivyo apewe Minne yake tena au atawale hata Milele TFF

    Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine. Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu Wallace Karia aongoze Milele tu TFF kwani kafanya makubwa. Ukiona Mtu anakubaliwa na GENTAMYCINE jua ni...
  17. Wallace Karia mwisho wake umefika

    Kwa hao wagombea hapo, ni dhahiri sasa enzi za Karia zimeisha. Nawapa nafasi Ally Mayayi na Tarimba Abbasi
  18. Karia hafai kuendelea kuongoza TFF

    Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea Tufike wakati tuseme imetosha Tuwe na viongozi wenye hekima na busara kuwatumikia wananchi
  19. Waliomchukulia fomu ya kugombea urais wa TFF Wallace Karia wamelipwa nini?

    Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF. Swali ni hili: Wamelipwa nini...
  20. Mwakalebela aiomba msamaha na kuisifia TFF ya Karia, aiweka njia panda Yanga

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…