Well, well, well……
Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu.
Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha...
Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha.
Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale.
Hii haina tofauti na...
Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
Japo neno kukinukisha linaweza kusababisha mashtaka ya uhaini uchwara, majirani zetu p
Pale chini, Madagascar wamekinukisha. Je, ni ajali kuwa kufanya hivyo kumekuja siku chache baada ya Kapteni John Charles Tesha kukinukisha?
Rais wao Andry Rajoelina amekimbia nchi baada ya kugundua kuwa the...
https://youtu.be/H1nHdmCnduI
Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya.
Utangulizi
Jumamosi ya tarehe 4...
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.
Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole.
Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli...
Chama changu CCM kimenisikitiisha sana.
Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha?
Yaani hata Murilo Kaufyata!?
Ni huzuni
Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.
Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.
Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI...
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform...
Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi.
Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
Mwanaanga mwenye asili ya India, Kapteni Sunita Williams na mwenzake mzoefu wa NASA, Butch Wilmore, wako tayari kuruka kuingia kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS) kwa spacecraft mpya kabisa, Boeing Starliner siku ya Jumatatu.
Waili hao watatua angani kutoka Kituo cha Nguvu cha Anga cha...
Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912.
Jambo la kutafakarisha, imekuwa ikidaiwa kuwa aliyekuwa kapteni mkuu wa Meli hiyo Edward John...
Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako pia baba yake Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Hans Poppe alizikwa tarehe 26 Mei 1979.
Hans...
Kapteni Mapunda ambaye ni Rubani mstaafu aliyetunukiwa na Rais Magufuli katika siku za hivi karibuni kutokana na uzalendo wake kwa taifa alioufanya kwa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki, amefunguka kuhusu sintofahamu iliyotokea baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.