Katika Siku ya jana rapper jay z ali achia live freestyle session katika jukwaa la roots picnic.
Freestyle hiyo ilibeba jumbe kadhaa zilizo walenga baadhi ya wasanii wa hip-hop, au maadui walio muandama katika kipindi cha nyuma.
Katika orodha hiyo yupo drake, nicki minaj, Kanye west, na tory...