kanuni

Suleiman I (Ottoman Turkish: سلطان سليمان اول‎ Sultan Süleyman-ı Evvel; Turkish: Birinci Süleyman, Kanunî Sultan Süleyman or Muhteşem Süleyman; 6 November 1494 – 6 September 1566), commonly known as Suleiman the Magnificent in the West and Kanunî Sultan Süleyman (Ottoman Turkish: قانونى سلطان سليمان‎; "Suleiman the Lawgiver") in his realm, was the tenth and longest-reigning Sultan of the Ottoman Empire from 1520 until his death in 1566. Under his administration, the Ottoman state ruled over at least 25 million people.
Suleiman succeeded his father as sultan in September 1520 and began his reign with campaigns against the Christian powers in central Europe and the Mediterranean. Belgrade fell to him in 1521 and Rhodes, long under the rule of the Knights of St. John, in 1522–23. At Mohács, in August 1526, Suleiman broke the military strength of Hungary, with the Hungarian king Louis II losing his life in the battle.
Suleiman became a prominent monarch of 16th-century Europe, presiding over the apex of the Ottoman Empire's economic, military and political power. Suleiman personally led Ottoman armies in conquering the Christian strongholds of Belgrade and Rhodes as well as most of Hungary before his conquests were checked at the Siege of Vienna in 1529. He annexed much of the Middle East in his conflict with the Safavids and large areas of North Africa as far west as Algeria. Under his rule, the Ottoman fleet dominated the seas from the Mediterranean to the Red Sea and through the Persian Gulf.At the helm of an expanding empire, Suleiman personally instituted major legislative changes relating to society, education, taxation and criminal law. His reforms, carried out in conjunction with the empire's chief judicial official Ebussuud Efendi, harmonized the relationship between the two forms of Ottoman law: sultanic (Kanun) and religious (Sharia). He was a distinguished poet and goldsmith; he also became a great patron of culture, overseeing the "Golden" age of the Ottoman Empire in its artistic, literary and architectural development.Breaking with Ottoman tradition, Suleiman married Hürrem Sultan, a woman from his harem, an Orthodox Christian of Ruthenian origin who converted to Islam, and who became famous in the West by the name Roxelana, purportedly due to her red hair. Their son Selim II succeeded Suleiman following his death in 1566 after 46 years of rule. Suleiman's other potential heirs, Mehmed and Mustafa, had died; the former had died from smallpox, and the latter had been strangled to death 13 years earlier at the sultan's order. His other son Bayezid was executed in 1561 on Suleiman's orders, along with Bayezid's four sons, after a rebellion. Although scholars no longer believe that the empire declined after his death, the end of Suleiman's reign is still frequently characterized as a watershed in Ottoman history. In the decades after Suleiman, the empire began to experience significant political, institutional, and economic changes, a phenomenon often referred to as the Transformation of the Ottoman Empire.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  2. PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  3. Nimefurahi sana CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili, mwaka huu hakuna mgombea atayepotea , kutekwa wala mwananchi kufa kwa sababu ya Uchaguzi

    Wasalaam ndugu zangu Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo: 1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi wanaowahitaji kulinga na muda na mazingira yaliyopo.Kupima wagombea kulingana na sera zao kisha...
  4. Hii ni April, muda ni mchache mno, katika kufanya maboresho ya kanuni ya chaguzi zetu.

    Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za kiuana harakati, za kina maria sarungi, na mchungaji asiye na kanisa.
  5. Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
  6. Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  7. Kanuni ya matumizi ya Hekima na Busara iongezwe kwenye kanuni za uendeshaji wa ligi...kuna kanuni hazitekelezeki zinawafanya viogozi waonekane opress

    Nimefatilia vizuri mahojiano ya mwenyekiti wa Bodi ya ligi ndugu Steven Mguto na chombo cha habari cha mwananchi digital...kimenifanya nitafakari upya mtazamo wangu kuhusu hili sakata linaloendelea la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya derby ya tarehe8...Mzee Mguto anakiri kwa maneno yake...
  8. PRINCIPLE OF DAO SELF DEFENSE SYSTEKM ( Kanuni za kujilinda za mfumo wa dao)

    1. TO BE HUMBLE PERSON ( kuwa mtu mnyenyekevu na mwadilifu ). Katika mafunzo ya "dao - self defense system" kuna kanuni tano za kujilinda ambazo ni lazima kila mwanafunzi wa DAO ajifunze ili kuongezea ufahamu katika elimu yake ya kujilinda. kanuni namba moja ya kujilinda inasema kuwa...
  9. M

    Simba kuzuiwa kufanya mazoezi, Je inamfanya kutofika uwanja kucheza mechi? Kanuni ya 31.

    Baada ya Mashabiki wengi wa soka kuumizwa na usitishwaji wa derby wamekuwa wakitaka kujua, Je hata kama simba angekuwa alikosewa kikanuni, tukio hilo linampa fursa ya kugomea mchezo! JIBU NI NDIYO. Kanuni ya 31 ya Tff/tplb inasomeka hivi; "Timu yoyote itakayo kosa kufika uwanjani bila ya...
  10. Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  11. M

    Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

    Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao! Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
  12. Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  13. Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha bodi ya Ligi, hizi ndizo sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo wa Ligi kuu kuahirishwa. KANUNI YA 9 KUAHIRISHA MCHEZO Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati ya zifuatazo:- (a) Endapo timu ina wachezaji watano au zaidi katika timu ya...
  14. D

    Hii kanuni ya adhabu, ndio imeiweka Bodi ya ligi njia panda

    Hapa Simba angekwanguliwa points 15. Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
  15. S

    Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

    Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
  16. Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi. Kwa busara tu...
  17. S

    Alert: Yanga wataenda uwanjani kama kanuni zinavyotaka

  18. Kanuni mbili za kwenda sokoni kununua bidhaa

    Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni. (1). IFAHAMU VIZURI BIDHAA UNAYOKWENDA KUNUNUA SOKONI: Usiende sokoni kichwa kichwa, utapigwa...
  19. PreGE2025 Serikali yatoa kanuni zitakazotumika kwenye Uchaguzi mkuu wa 2025

    Wakuu, Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu. =========================================================== Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya za uchaguzi kwa...
  20. PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…