kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ? . Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kardinali Rugambwa amemkemea vikali askofu aliyetoa tamko kinyume na msimamo wa kanisa

  6. O

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Uongozi wa Kanisa: Papa Ajaye Awe wa Msimamo Upi? Kiliberali au Kihafidhina ?

    Misimamo mikali ya aina yoyote haifai. Tunakosea sana tunapowagawa makardinali katika makundi mawili haya ya kiholela. Kufanya hivyo ni sawa na kulichukulia Kanisa kama taasisi ya kawaida kama vile IMF au Benki ya Dunia, badala ya kulitazama kama Mwili wa Fumbo wa Kristo. Baba Mtakatifu ni...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Kardinali Pengo amuonya Kitima kutumia Kanisa kwenye Siasa

  8. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kuna kanisa la walokole

    Nifanyeje? Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani. Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo. Kuna shule karibu nao wanaipata Pata. Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
  9. JamiiForums Tanzania Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  12. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwipopo: Kanisa Katoliki liliongoza mauaji ya kimbari Rwanda, Burundi na Congo, alionya kupandikiza roho ya chuki za kidini Tanzania

    Sheikh maarufu Tanzania ndugu Mwipopo ametoa onyo kwa kanisa katoliki kwa mwenendo wake wa kupandikiza chuki za kidini, hasa inapotokea Rais ni muislam. Sheikh huyo ametoa mfano wa mauaji ya kimbari Rwanda ambapo kanisa hilo lilikuwa linawakusanya watu makanisani kwa kisingizio cha kuwasaidia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nakumbuka siku Mbowe alipotaka kulitumia kanisa kutaka kuvunja katiba na akashindwa.Sijui itakuwaje kwa Lisu baada kanisa kurudi tena.

    Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani. Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania KKKT mnapoteza sana muda wenu kuendelea kumng'ang'ani MALASUSA huyo si msaada tena kwa ustawi wa kanisa.

    Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
  17. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

    Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!! Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa. Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

    Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani. Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu. Kanisa...
  20. JamiiForums Tanzania Kweli makamanda wamevurugwa wana mkana Askofu mwamakula hawajui kanisa lake!

    Hili kitambo tulihoji ila mahaba yakizidi chongo huitwa kengeza sijaongeza......
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…