Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Wanging’ombe, mkoani Njombe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Festo Dugange, amezindua rasmi kampeni za chama hicho na kuwataka wananchi kushiriki kwa wingi kupiga kura.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Dk. Dugange aliwahimiza wananchi kuendelea kuiamini CCM...