kamili

Moasseseh-ye Kamili (Persian: موسسه كميلي‎, also Romanized as Moasseseh-ye Kamīlī) is a village in Veys Rural District, Veys District, Bavi County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 24, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
  2. JamiiForums Tanzania Tushtuane hio saa moja kamili usiku sijui mange anatka kusema nini

  3. JamiiForums Tanzania Taswira kamili ya CCM: Ni chama cha watekaji na wauaji. Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi.

    Aliunga mkono mauaji na utekaji hadharani leo hii anapata teuzi. Hii ndio CCM👇
  4. JamiiForums Tanzania Bill Gates: Kitambulisho Kidijitali na Udhibiti Kamili

    BILL GATES: KITAMBULISHO CHA KIDIJITALI KITADHIBITI KILA HATUA YAKO — MWILI WAKO, PESA ZAKO, CHAKULA CHAKO NA CHANJO ZAKO ZITAELEZA KAMA UTAWEZESHWA “RUHUSA YA KUISHI” AU UTAZIMWA! Gates anapongeza kuunganishwa kwa kitambulisho cha kidijitali cha kibayometriki, akaunti za benki, mifumo ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

    Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ushahidi wa mh. Heche, naamini ukiwa CCM unabadilika na kuwa si binadamu kamili

    Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho. Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  8. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

    Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili Watu wa mtandao hawalali wako mbele ya muda, Rais awamu ya 7 anaandaliwa Sababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au...
  9. JamiiForums Tanzania JMT-Maboresho yanakuja-Nawaomba watu wa Rohoni tukoleze nia katika maombi na dua zute ili mabadiliko yanayokuja yawe kamili na yenye athari chanya.

    Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio anaepambania makanika ya ile mashine pale, wakati huyu bwana mdogo yupo bize ndani huko ni kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kuhisi raha kamili ya sex anapofikisha miaka 28

    Njoo ubishe Kwa mwanaume akisha balehe tu utamu unaanza hapo Ila Kwa mwanamke anaanza kuhisi raha halisi ya sex pale anapofikisha miaka 28, ndio maana ukimpata mwanamke mwenye miaka hiyo na ukamkoleza sex sawa sawa ndio anakuganda na anaacha kuangaika na wanaume tofauti tofauti Kinyume...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV kamili ya H.E. Balozi Saidi Othman Yakubu atushushie hapa tafadhali.

    Mwenye CV kamili ya H.E. Balozi Saidi Othman Yakubu atushushie hapa tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Mchongo Kamili wa Kupata Wateja wa Utalii wa Nje Bila Madalali

    Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

    Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa. Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama. Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.
  16. JamiiForums Tanzania Je, tunawezaje kuamini Biblia au Qur’an kama ukweli kamili ilhali ziliandikwa, zikakusanywa, na kutafsiriwa na wanadamu wasio wakamilifu?

    Je, tunawezaje kuamini Biblia au Qur’an kama ukweli kamili ilhali ziliandikwa, zikakusanywa, na kutafsiriwa na wanadamu wasio wakamilifu?
  17. JamiiForums Tanzania Microsoft Yazindua Kozi Kamili ya AI Bure Kupitia GitHub.

    Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza AI hatua kwa hatua. Kozi hiyo inajumuisha masomo ya msingi ya AI, machine learning, AI agents...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Michango ya Chadema: Niwape Data Kamili

    Chadema Tokea waanze kuchangisha ma michango yao asilimia kubwa ya hiyo michango haija timiza lengp. Waje hapa kubisha niwape data kamili
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nafuatilia Pasipoti Uhamiaji Kurasini tangu 2025, nimelipia fedha kamili wao wanataka wanipe Pasipoti ya muda! Why?

    Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko. Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema HQ, kuweni na hofu ya Mungu kwa rambirambi wanazotoa waombolezaji, ni heshima zikafika kamili kwa wafiwa na familia kwa ujumla.

    Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za rambirambi zinazotolewa na waombolezaji kwaajili ya wafiwa, na badala yake, wakusanyaji michango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…