kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamati yafichua wananchi waliopigwa risasi na kujeruhiwa na muwekezaji

    kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema kua kamati imebaini kuwepo na vurugu kati ya walinzi wa shamba la malonje na wananchi wa vijiji...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yashauri ujenzi wa Madaraja maeneo yenye usafiri wa vivuko

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TLS Kuunda kamati Maalum Sakata la Ngorongoro

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake Mwabukusi amezungumza hayo alipokutana na wanahabari leo, Jumanne Agosti 20.2024 ambapo amesema pamoja na...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Olimpiki wanalamba asali

    Hii Kamati wanalamba asali mwanzo - mwisho ila hamna Medali kwa Miaka 40 sasa. Tandau tunakulilia.
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yapongeza Zoezi la Ufutaji Leseni na Maombi Yasiyokidhi Vigezo

    Kamati ya Bunge yapongeza zoezi la ufutaji wa leseni na maombi yasiyokidhi vigezo. ● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa. Dodoma Imeelezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kiasi cha maombi 2648 ya utafutaji wa madini yamefutwa na kuondolewa kutokana na...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katambi azindua Kamati ya kuratibu uhamaji nguvu kazi

    KAMATI YA KURATIBU UHAMAJI NGUVUKAZI YAZINDULIWA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Patrobas Katambi amezindua Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu itakayoratibu Mradi wa Uhamaji Nguvukazi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika. Mhe...
  9. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Afrika inafuatilia Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC?

    "Tunatarajia sana matunda muhimu ya Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC, ambayo sio tu yana athari kwa maendeleo ya China, bali pia yatafaidisha Tanzania na nchi nyingine duniani." Haya yalisemwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  11. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  12. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mpina, Bashe, Kamati ya Maadili, Spika, Wazalishaji na Bodi ya sukari nani kweli?

    MJADALA wa Kashfa ya Sukari umezungumza sana ndani ya Bunge na nje ya Bunge hadi kusababisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni baada ya kumtuhumu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kusema uongo kuhusu utoaji wa vibali vya waagizaji sukari nje ya nchi. Jana Profesa Bengesi wa Bodi ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Kawaida aongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu UVCCM Taifa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameongoza kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa tarehe 05 Julai, 2024 Ofisi Ndogo za Makao Makuu Upanga Jijini Dar es salaam. #TunaendeleaNaMama #Kaziiendelee...
  15. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Msigwa aingizwe kwenye kamati ya maridhiano aiwakilishe CCM kuridhiana na CHADEMA

    Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki. Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HELSB) imekosa Tija na mantiki katika Ufanisi, changamoto kubwa ni mfumo wa kamati za Teuzi

    Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua? This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna watu sahihi kwenye Taasisi za Umma. Wakopaji wana NIDA, identifications , Ujazaji wa form...
  17. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina ameamua kumtii Mwl Julius Nyerere?

    MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA ________________________ "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya Bunge yagawanyika suala la Mpina na Bashe

    KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine wanadai kwa kuwa Spika ndiyo amewapa hiyo kazi ni lazima waimalize. Pia kuna tetesi kuwa baadhi ya...
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Upigaji unaanza mdogo mdogo unaangaliwa likibuma inaundwa kamati ya uchunguzi

    Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji. Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati inatumia pesa za walipa kodi. Tuwe macho huu ni upigaji hatujaona wizara za mambo ya nje zikajikita...
Back
Top Bottom