kamati

Kamati is a village in Bamyan Province in central Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kukutana na Tume ya Uchunguzi wa yaliyotokea Oktoba 29 2025?

    A. Hapana..! Kwanini B. Ndio.. Kwanini
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  3. JamiiForums Tanzania Juzi mlitwambia mmealika kamati ya bunge la USA, leo mmewekewa vikwazo vya kuingia USA

    Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo. Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi

    Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi? Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
  7. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana. Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani. Kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

    Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati Kuu ya CCM mnavochelewa, ndio tunapanga kukifuta chama chenu

    Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia. Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Wengi Kamati Kuu CHADEMA walipinga 'No Reforms No Election'

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamekihama chama hicho.
  14. JamiiForums Tanzania Tupe ushuhuda kuhusu hii kamati ya nidhamu

    Tupe ushuhuda kuusu hii kamati ya nidhamu
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye Kila chama cha siasa ccm Wana watu wao na Kila kamati kuu ya chama chochote cha siasa ccm Wana watu wao hao mashahidi wa Siri ni makada wenu !

    Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
  16. JamiiForums Tanzania Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

    Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa : https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR
  17. JamiiForums Tanzania Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole atoswa UWT Tabora, aiangukia Kamati Kuu

    Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
  19. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kamati Kuu inazidi Mahakama ya Rufaa

    Pamoja na Kura za Mchongo za Wajumbe. Kamati Kuu ndio mwamuzi wa Mwisho. Na hakuna kitu mtafanya.
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…