Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 335 ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro.
Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Jackson Kiswaga (Mb)...
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo amesema kamati yake itashirikiana kwa karibu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) katika usimamizi na uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari ili...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni
Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao...
Ilikuwa ni wakati wa utawala wa Hayati John P. Magufuli..
Kuna huyu mtu Crocodiletooth ameanzisha uzi kudai kuwa Askofu hakuwahi kuukosoa utawala wa Magufuli....
Aliukosoa sana kiasi cha Paul Makonda (RC DSM by then) kupewa jukumu la kumzimisha huyu mwamba, lakini alizimika yeye na aliyemtuma...
Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza kuwa kuna shule kadhaa zinazofundisha masomo ya sayansi bila kuwa na maabara, hali inayotia wasiwasi hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya mwisho mwezi Mei 2025.
Mwenyekiti...
Haya ndio madhara ya Bunge na Serikali vyote kutoka kwenye chama kimoja. Yaani hizi kamati za Bunge kazi yake imekuwa ni kupongeza tu. Sijawahi kuona hata mradi mmoja ambao hizi kamati zimesema kama hauendi vizuri.
Tukisema hizi ni kampeni za Uchaguzi mtakataa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma.
Kamati hiyo imesema, ujenzi wa bwawa umeendana na thamani ya fedha iliyowekwa.
Pia soma: Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko.
Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi 16, 2025 Jijini Dar es salaam.
Akizungumza Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Fatma Toufiq amesema...
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa.
Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick Bulyanhulu.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Victor...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika.
Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.
Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson kiswaga imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji cha Kizengi wilaya ya Uyui mkoani Tabora .
Kwaniaba ya kamati hiyo Mwenyekiti wa kamati Mhe kiswaga amesema wameridhishwa na Ujenzi wa Mradi huo na...
KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE
OR-TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa Daraja la Mawe la Garkawe katika barabara ya Maretadu - Garkawe, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.