kamati kuu ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatma ya nafasi ya Makamu Mwenyekiti fisadi wa CHADEMA Taifa kuamuliwa na mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026.

    Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya kukiuka katiba na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa yake binafsi na familia yake...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika Tarehe 28 & 29 April 2026

  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA yamekosa Jambo Moja Muhimu. Chadema jirekebisheni! Huu sio wakati wa siasa nyepesi.

    Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia. Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

    Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali. Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati Kuu ya Chadema Kukutana Jijini D'Salaam kujadili Ajenda Tatu zitakazofuatiwa na Hotuba kwa Taifa

    Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya kamati kuu ya CHADEMA taifa kuna usaliti, uasi au hujuma dhidi ya Tundu Lissu anaesota korokoroni pekee?

    Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CHADEMA ni nyepesi mno kisiasa, inategemea huruma tu za wanachama wake kujiendesha

    Ukitazama wajumbe wake na historia zao binafsi kisiasa, ukiwachakata na kuwatathimini kwa kina, utabaini jinsi walivyo wepesi kama karatasi kwenye medani za kisiasa, kwa maana ya kutokua na ushawishi kabisa ndani na nje ya chama hicho. Wote wanaishi na kufanya siasa kwa kutegemea huruma za...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaendesha Mafunzo kwa Viongozi wake, Profesa Mussa Assad awa Mkufunzi Mkuu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba CHADEMA imefungua Mafunzo kwa lengo la kuwapiga Msasa viongozi wake Miongoni mwa Wakufunzi yumo CAG Mstaafu Alhaj Mussa Assad, Wakufunzi wengine ni Tundu Lissu na Dr Philbhert Kumu ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Hii ndiyo Kamati Kuu ya CHADEMA. Kikao kinaendelea

    Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu. Kikao hiki kinafanyikia Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar Es Salaam Hatimaye Ezekiah Wenje...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri Yericko nyerere asiwe mjumbe kamati kuu ya CHADEMA, abakie mwanachama wa kawaida kwasababu hana vigezo

    Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe. Wajumbe ni jicho la wanachama! Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa maamuzi! Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa mkutano mkuu lakini nashauri huyo...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rose Mayemba ajitosa kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, nitampigia kampeni

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu. Namtakia Kila la heri. Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

    Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Maazimio ya mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo; 1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi. 2. Kamati Kuu inalaani mauaji...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  16. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana kufanya mkutano kwa siku 2. Itajadili hali ya usalama nchini

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea; 1. Taarifa ya hali ya usalama nchini. 2. Kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu baina ya Kamati Kuu ya CCM dhidi ya Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao 2025

    Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ... Na kwakua itakuwa kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam. Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine...
Back
Top Bottom