Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi.
Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate.
Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa upande wao ni mbaya yaani unakuta wilaya nzima wanataka RN mmoja tu wakati EN zaidi ya 20 mfano...
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza.
Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Habari,
Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa.
Shida imekuja hivi matokeo yalivyotoka wanafunzi waliofeli ni wengi kuliko walio faulu na pia wanafunzi wengi...