Habari wana JF,
Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo.
Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi...