TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi walikutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...