jumuiya ya kimataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tanzania yaitaka Jumuiya ya Kimataifa kuheshimu uhuru wa Tume

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa majibu makali mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikiyashutumu mataifa ya Magharibi na asasi za kimataifa kwa kutoa kauli za upendeleo na "kuchagua matukio" kuhusu hali ya usalama nchini kufuatia uchaguzi wa Oktoba...
  2. Parabolic

    Tanzania yajibu Baraza la Haki la Umaja wa Mataifa yalitokea Oktoba 29, 2025. Hatua zilizochukuliwa zililenga kuzuia vurugu, kulinda utulivu

    Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa? Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku athari zake zikiweza kugusa diplomasia na taswira ya nchi kimataifa. ============ Geneva- Uswisi...
  3. R

    PostGE2025 Serikali itarejeshaje Imani ya Wananchi, Jumuiya ya Kimataifa baada ya Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025?

    Vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 zimeacha alama nzito ikiwa pamoja na kuchafua diplomasia na uhusiano wa kimataifa. Vurugu hizo zilizotokana na maandaano katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Kilimanjaro na Njombe...
  4. Nyani Ngabu

    Wiki mbili baadaye, jumuiya ya kimataifa bado haijawatupa mashujaa wa Tanzania

    Ni vigumu sana kuua maelfu ya watu pasipo na sababu, hususan kwenye zama hizi, halafu utegemee dunia ikae kimya. Sasa hivi dunia imeingiliana sana. Litokealo sehemu moja basi jua kuwa litawagusa tu na wengine waliopo sehemu zingine. Ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa haina vyombo vya habari...
  5. Lord Denning

    Wamekataliwa ndani na wananchi, wamekataliwa na Jumuiya ya Kimataifa, kwenye hili Jeshi mshindwe nyie tu

    Kwa wale wanaobeti sijui hapa tusemeje? Ni kama mkeka umetiki wote. Ndani ya nchi wananchi hawawataki kabisa, Nje ya nchi Jumuiya ya Kimataifa imewakataa na inawalaani kila kona. Kati ya mwaka ambao Jeshi wamenyooshewa kila kitu ni mwaka huu. Washindwe wao tu maana Wananchi wote tunataka...
  6. Abraham Lincolnn

    Jumuiya za Kimataifa, ICC na Balozi za nje ziko wapi wakati huu ambapo utekaji na ukandamizaji wa haki unaendelea Tanzania?

    Najaribu kuwaza hakuna uwezekano wa Kuifungulia mashtaka ya mauaji na ukandamizaji wa haki za kiraia serikali ya Tanzania huko ICC? Pia mashirika ya kimataifa na balozi mbalimbali mbona wapo kimya ina maana hawaoni yanayoendelea? INASIKITISHA SANA.
  7. E

    CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  8. Ojuolegbha

    Tanzania yatoa rai kwa Jumuiya ya Kimataifa kudhibiti vyanzo vikuu vya migogoro duniani

    Tanzania imetoa rai kwa Jumuiya ya Kimataifa kuweka mikakati madhubuti ikiwemo kuwashirikisha wanawake katika masuala ya amani na usalama ili kudhibiti migogoro ambayo vyanzo vyake vikuu ni ukabila, ubaguzi wa rangi, itikadi kali na migogoro kuhusu maliasili na mipaka. Rai hiyo imetolewa na...
  9. Erythrocyte

    Jumuiya ya Kimataifa yaendelea kufuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Mahakamani

    Nimefuatilia Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Tundu Lissu na Serikali Katili ya Tanzania leo Mahakamani Kisutu. Lakini kama kawaida yangu nilijikita katika kuangalia namna Jumuiya ya Kimataifa inavyofuatilia Kesi hii inayodhalilisha Taifa letu. Watu wa Mwanzo kabisa kufika Mahakamani...
  10. B

    CHADEMA yaomba Jumuiya za Kimataifa msamaha kwa niaba ya Tanzania, kwa madhila yaliyowakumba wageni wa kesi ya Lissu

    KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU CHA SERIKALI YA TANZANIA, CHADEMA YAAMUA KUBEBA WAJIBU WA KUWAJIBIKA KUZIMA HASIRA ZA JUMUIYA YA KIMATAIFA CHADEMA katika press conference leo 20 May 2025 imewaomba wageni wote waliopata kadhia kutoka mamlaka za serikali ya Tanzania. Wageni hao wengine...
  11. Yoda

    Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  12. Erythrocyte

    Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania ilivyo hivi sasa, jumuiya ya kimataifa ikituminya, wananchi jiandaeni kula nyasi

    Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Nchini Tanzania kwa sasa yanaiinua Jumuiya ya Kimataifa kuitupia macho nchi hii, Ubambikizaji wa kesi za uongo za Uhaini kwa wazalendo wapigania Mali za Nchi umefika kwa wafadhili wa nchi ambao wamekwisha jiridhisha kwamba kesi hizi ni kwa ajili ya kuwalinda...
Back
Top Bottom