Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia Askari wanaojihusisha na majukumu yasiyo yao, ikiwemo kujivisha Vyeo vya Taasisi nyingine kwa lengo la kujipatia rushwa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo katika eneo la Kariakoo...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi katika kuimarisha ulinzi kwenye maeneo mbalimbali ya jiji.
Kwa mujibu wa taarifa ya siku ya Jumamosi ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, SACP Jumanne Muliro...
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
Wakuu,
Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe.
Mbali na kuwakanya wamepewa na...
faustine mafwele
jumannemuliro
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
muliro na mafwele
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
utekaji na mauaji
utekaji tanzania
watu wasiojulikana
Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
"Kulinganisha jeshi letu la polisi na Marekani ni makosa makubwa wakati unakuta kuna CCTV camera kuanzia ndani. Kuna footage kwenye gari, barabara, ofisini.
"Sasa uchunguzi wake utalinganisha na Mtanzania ambaye anatumia akili yake. Ni kweli kuna mabadiliko makubwa kwenye uchunguzi, tunasoma...
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile alichoeleza kuwa walikuwa wakizuia Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake.
Wakati tukielekeza nini cha...
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika...
Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim. Sasa tuna waziri ambaye hajulikani kwasababu nchi imefunikwa na matukio ya ajabu ajabu na kiki za kiusalama
Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣
Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu.
Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda.
Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF.
Sitaki kusikie ukisema tusameheane...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote.
Akizungumza...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia.
Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
Wakuu,
Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe!
====
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
Presha inazidi kupata kulekea hapo kesho 19 Oktoba kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo itakyowakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo huu utakaochezwa katika Dimba la Benjamin Mkapa.
Sasa ulinzi na usalama napo umechukua nafasi. wale watakaojifanyia kupagawa basi watakutana...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya watu wanaodaiwa kuwa ni wapenzi
Polisi baada ya kufika eneo la tukio walibaini kuwepo kwa mwili wa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili.
Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.