julius nyerere

Julius Kambarage Nyerere
Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːlius kɑmˈbɑɾɑgɑ ɲɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. He was a founding member and chair of the Tanganyika African National Union (TANU) party, and of its successor Chama Cha Mapinduzi, from 1954 to 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. After this, Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist-governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left areas dependent on food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Shariff Abdallah Attas na Mwalimu Julius Nyerere Sokoni Kariakoo

    https://youtu.be/XfpiwoY773Q?si=AatqVE4wrUgwhP7w
  2. Zee la madawa

    Nyerere na Karume hawakustahili kuwa independence fighters walijiweka tu

    Nyerere na karume sio independence fighters kama vitabu au historia ya Taifa iliyopikwa inavyotuaminisha hii historia ya Tanzania imepikwa lengo hawa Viongozi wawili wapewe heshima kubwa ambayo hawakustahili na sijui lengo la kubadilisha historia lilikuwa nini Nyerere yeye aliwekwa tu Wazee wa...
  3. mwehu ndama

    Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
  4. B

    Serikali ya Chama cha Mwalimu, Chama cha ukombozi wa Afrika, Chama cha kijamaa, leo imeshtakiwa ICC. Julius Nyerere anabingirika kaburini

    ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA. Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi. Yeye anasema akasukuma...
  5. Mshana Jr

    Julius Nyerere: Mtumwa na Mhanga wa Maono yake

    Leo 14/10 ni siku ya Nyerere. Lakini pia ndiyo siku aliyozaliwa Baba yangu mzazi niliyemzika 27/9/2025. Leo angetimiza miaka 86. Siku hii ni mababa wawili waliohusika kuzifanya fikra zangu ziwe hivi zilivyo (Baba Bagonza na JKN). Wapumzike kwa amani. Mazuri yangu ni yao; mabaya yangu ni yangu...
  6. Nyani Ngabu

    Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo. Ilikuwa mwaka 1982. https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0 Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema...
  7. Idugunde

    Hata kama ni kazi maalumu, hawa Wagombea wanaaibisha mahala patakatifu kama alivyosema Hayati Julius Nyerere

    Ikulu ni mahala patakatifu alisema hayati Julius. Panahitaji kukaliwa na mtu mwenye sifa zinanazofaa. Eti Kunje Ngombale Mwilu!. Luhaga Mpina na Salumu Mwalimu Hata kama ni kazi maalumu. Sio kihivyo.
  8. Mohamed Said

    Urafiki wa Julius Nyerere na Zuberi Mtemvu

    URAFIKI WA JULIUS NYERERE NA ZUBERI MTEMVU Kuna mambo mengi nimeyasikia udogoni kuhusu wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika ambayo kwa wakati ule sikujua kuwa ni mambo yatakayokuja kuwa muhimu na watu watapenda kuyafahamu kwa kina. Katika video moja kuhusu nguvu ya TANU na jinsi chama...
  9. Mwande na Mndewa

    Polepole, Mpina na Hayati Magufuli ni kundi la itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Hawa ni wale wanaotembea na kufuata itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere. Hawa hawawezi kupendwa na kundi la makabila, mabepari, na wezi wa mali ya umma. Kundi hili liliweza kutawala 2015 hadi 2020 baada ya kundi la makabila kusinzia, ila hawatasinzia tena.
  10. Mohamed Said

    Historia ya Ali Mwinyi Tambwe, Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Julius Nyerere Safari ya UNO 1955

    JULIUS NYERERE NA ALI MWINYI TAMBWE, AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) SAFARI YA KWANZA UNO 1955 Usiku uliopita kijana mmoja jina lake Victor Madaha Mtangazaji wa Bongo Plus TV kanipigia simu kaniomba afike Maktaba siku ya pili tufanya kipindi kuhusu vijana na...
  11. Nyani Ngabu

    1977: Julius Nyerere akizungumzia katiba, demokrasia, na petty tyrant….

    Alichokizungumza hapa kina resonate vizuri sana na hali kisiasa iliyopo. “If a petty tyrant gets somewhere, we’ve got to remove him [or her]. Pia, kumbe Nyerere naye alikuwa ni globalist 😀. https://youtu.be/92MreE1tep8?si=3UG3J8HYqakllrXr
  12. Cute Wife

    PreGE2025 TBT: Nyerere aliingilia mambo ya Zambia 1997 kwa kumtembelea Kaunda gerezani, je, alikuwa mchochezi na aliyetovuka?

    Wakuu, Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere mwaka 97 aliingilia mambo ya Zambia na kwenda tumtembelea aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda wakati yuko gerezani, Kitwe. Alichofanya Nyerere hakina tofauti sana na walichofanya wanasheria na wanaharakati wa Kenya na Uganda walipokuja kama...
  13. R

    Mzee Kikwete, Umesahau kuwa Hayati Mwl Nyerere amewahi kuitisha press conference kuikosoa serikali ya Awamu ya pili

    Salaam! Jambo lenye maslah mapana ya nchi ni vyema kuliadress hadharani mbele ya umma Ili ujumbe ufike kote. Hii dhana ya kushauri sirini Kisha ushauri ukapuuzwa, ndio sababu hasa ya viongozi, wazee kutoka hadharani kukemea. Nia na dhamira ya kukemea hadharani hulenga na wengine wajifunze...
  14. Allen Kilewella

    Kikwete: Mwalimu Nyerere alisema mawazo hayapigwi rungu!

    Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia. Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.
  15. JanguKamaJangu

    Jumuiya ya Madola yaridhia wito wa Rais Samia kuanzisha Commonwealth Julius Nyerere Scholarship

    JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship. Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Rais Dkt.Samia aliyafanya na Katibu...
  16. mtetezi wa MAGU

    Jesca Magufuli: Katika safari yake ya uongozi Magufuli alijifunza kwa Hayati Nyerere, Mkapa na Ally Hassan Mwinyi. lipo lakujifunza hapa

    Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
  17. Ojuolegbha

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme

    Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi, na Mtwara ndio bado haijaunganishwa. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  19. Mohamed Said

    Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  20. Mtanzania Tajiri

    Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

    == Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli, Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi kwenye Sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuchochea na kuleta mitaji, Ujuzi...
Back
Top Bottom