jpm

  1. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na John Heche hayati JPM alikuwa serious kudhibiti uzembe na ufisadi. Na ninaongezea asingethubutu kutembea na mtoto kama tunavyoshuhudia

    Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi. Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
  2. JamiiForums Tanzania Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

    Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu. Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14. Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
  3. JamiiForums Tanzania Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo hii mradi wa SGR ungekuwa umekamilika hadi Mwanza. Hii ni kwa sababu alikuwa na uchungu maisha ya watu

    Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika. Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika reli na kuweka njia za umeme kama angekuwepo mradi ungekuwa umekamilika. Leo hii watu wangeweza...
  4. JamiiForums Tanzania Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  5. JamiiForums Tanzania Hates still never lecover. Wauza Ngada, Vyeti feki, Watumishi hewa ,Mafisadi Wafanyakazi wazembe, Matapeli. JPM aliwanyoosha

    JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako ndo ulituonyesha wanasiasa wengi wana bei wananunulika kama nyaya sokoni kwa hiyo wasitudanganye kama...
  6. JamiiForums Tanzania Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

    Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa. Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania. Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono ...
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya ukweli na ukimya, miaka mitano John Pombe Joseph Magufuli

    KATI YA UKWELI NA UKIMYA,MIAKA MITANO (5) TANGU KIFO CHA John Pombe Joseph Magufuli Magufuli, umelala ndio,Na sote tunajua hautoamka tena. Lakini historia haifi pamoja na mtu bali inaishi,inauliza na inaandika. Ni kweli hatutakusahau,sio kwa sababu ulifanya mema makubwa kiasi cha kufuta kila...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  9. JamiiForums Tanzania Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo taifa letu lisingekosa kama anavyohangaika Rais Samia sababu ya kukumbatia mafisadi

    Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia hana watetezi mitandaoni kama mtangulizi wake Magufuli? Wanaojaribu kumtetea ni kama hawana mashiko

    Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi. Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake. Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga Simbachawene kutumbuliwa. Naona kama mtu ambaye hajitambui. Kwa ufupi watu hawamkubali kabisa Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  13. JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha hata hayanogi tena,jamiiforum hainogi tena imepoa tuliwaambia nchi inahitaji kiongozi wakuchilimua kama JPM.

    Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa. Nikiingia...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao. Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao. Kuhusu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  17. JamiiForums Tanzania Mwinyi Awapa Wapinzani Waongoze Wizara 4, Mwinyi ndio alipaswa kuwa Rais wa Tz baada ya JPM

    JPM alifanya makosa kumteua SSH kama mgombea mwenza. Mwinyi alifaha sana kuwa Rais wa TZ, jamaa yuko smart pia hana mihemuko na anaonekana kuwa na upendo kwa kila mtu. Mimi ni mkristo ila huyu ofisaaa alitufaha sana kama Rais wa Jamhuri. Kwanza anaga skendo za kijinga pili kanyooka kama rula...
  18. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Mwamba JPM Tupo hapa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa

  19. JamiiForums Tanzania Nakukumbusha PAUL MAKONDA (BASHITE ), Ulipotupwa nje na JPM, ulikesha kwa MAKADINALI , TEC kulinda Uhai wako, Leo unawadharau TEC, siku inakuja !!

    Wadharau sana Watanzania uwezavyo!. Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!. Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za Kila aina !!. Paul Makonda Sasa unafurahia Maisha, Bwana Bashiteee , Kijana wa mtandao ,Kijana wa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…