josephat gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  2. The Palm Beach

    Askofu Josephat Gwajima: Mlipaswa kunisikiliza. Hata hivyo itakuwa vilevile kama nlivyowaeleza...!

    https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake... Soma pia PreGE2025 - Askofu...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima: Magumu yaliyokupata wewe ni kwasababu mimi nilikataa 'Utekaji', mpaka leo nakataa vilevile

    Wakuu, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya tangu lilipofungwa Juni 2, 2025. Katika mahubiri yake, amegusia changamoto walizokabiliana...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Video: Askofu Gwajima akicheza kwa furaha Kanisani kwake baada ya kurejea Madhabahuni

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameonekana akiwa katika hali ya furaha kubwa kanisani kwake, akicheza na kuimba pamoja na waumini, ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana kanisani hapo baada ya kanisa hilo kufunguliwa. Kanisa hilo lilifungiwa kwa muda na Serikali kufuatia...
  5. W

    Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  6. U

    Askofu Josephat Gwajima: Walioua vijana wetu ili kujipa madaraka ya uongozi haramu kwa upanga nao watakufa kwa upanga!

    Mwanzo 9:6 NMM “.....Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu..." Na Mungu si mwanadamu hata aseme uongo. Kila alichosema na kukiahidi hakika atatenda na kukitimiza maana yeye ni MUNGU wa HAKI Wenye akili...
  7. The Palm Beach

    Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

    Isa 6:1-3 SUV ".....Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu. Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili...
  8. Waufukweni

    Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  9. U

    Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  10. Waufukweni

    PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

    Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
  11. PAYE

    PostGE2025 DC Msando: Hakuna mtego kwa Askofu Gwajima, kufungulia kanisa lake

    Serikali imesema hakuna mtego wowote uliowekwa kwa Askofu Dkt. Josephat Gwajima, unaotokana na kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima analoliongoza Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Wakili Albert Msando kwaniaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  12. T

    Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

    Wanamtafuta aje kutuliza Gen Z Wanasema nguvu yake ni kubwa. Wanaamimi akiongea tena kama alivyoongea mara ya mwisho wananchi wanaweza msikiliza na kutuliza mumkari. Ndio sababu ya kumfungulia makanisa yake tena. Jasusi usituangushe.
  13. The Magnifico

    Tundu Lissu, Humphrey Polepole na Josephat Gwajima ndiyo pekee ambao wakiachiwa na kuongea neno, kidogo itatuliza fukuto

    Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule! Hawa ndiyo the only "Checkmate" wa kututoa kwenye hili sekeseke na kutuliza hali ya hewa ya nchi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi inaleta machafuko na migawanyiko siku zijazo

    Usipowasikiliza wananchi leo wakati ukifika hautopata nafasi ya kuwasikiliza, lakini pia usipowasikiliza wananchi leo unaweza kupoteza nafasi kabisa ya kuwasikiliza kipindi utakacho wahitaji wakusikie nimuhimu sana kusikia kilio cha wananchi. Aidha Matokeo ya kutosikiliza kelele za wananchi...
  15. DuaZaMama

    GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
  16. Hance Mtanashati

    Yuko wapi Josephat Gwajima?

    Kimepita kipindi kirefu hatujamsikia mchungaji Josephat Gwajima na hii si kawaida yake. Kwa ukimya huu mkubwa bila shaka jamaa huenda walimbananisha haswa hivyo huenda hali yake ki afya si nzuri na bila shaka hayupo Tanzania. Kwa Gwajima tunayemjua mtu asiyekubali kushindwa kiwepesi wepesi kwa...
  17. Mganguzi

    GE2025 Nitaishangaa CCM ikipuuza ushauri wa comred Josephat Gwajima. Kama wewe sio firauni utasikiliza sauti za maonyo', kutoka kwa Mungu na kwa wanadamu!!

    Udhaifu wa taifa ni pale mnapotawaliwa badala ya kuongozwa. Alieleta karatasi ya kura ndio iamue na itupatie kiongozi hakumaanishi kura iheshimiwe kuliko wapiga kura. Mtawala anaweza kuamua kuunda kakikundi ka watu 20 ndio wakawa wanaamua chochote mtake mstake Firauni alipokaribia kuanguka...
  18. R

    GE2025 Maono: Mgombea sahihi wa CCM 2025 ni Josephat Gwajima

    Salaam! Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona 1. Uongozi, 2. Maono. 3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti. 4.Weledi wa Hali ya juu. 5. Uthubutu. 6. Uzalendo na upendo wa Hali ya juu kwa nchi. Na kwa kuwa ameshauri reforms zifanyike ndani ya chama na...
  19. Mung Chris

    Hamphrey Polepole, Luhaga Mpina na Dr Josephat Gwajima

    Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe. Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na umoja ambao labda kuna walio nyuma yao. Mungu awasaidie hawafanyi na hawa zungumzi kwa ubaya ni kwa mema.
  20. Waufukweni

    GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
Back
Top Bottom