joseph butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mzee Butiku: Tukubali tunaye Rais

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano. Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day)...
  2. McLaren

    PostGE2025 Joseph Butiku: Since October 29, 2025 we have wavered. We are coming with shame and embarrasement

    The Chairperson of the Board of Trustees of the Mwalimu Nyerere Foundation, elder Joseph Waryoba Butiku, has said the nation went through a difficult period that brought embarrassment to the country, drawing concern from both neighbours and the international community. On January 22, 2026...
  3. Waufukweni

    Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema hajui aliyekiwa Balozi, Humphrey Polepole, alipo hadi sasa ingawa mara kadhaa alikuwa akikutana naye. "Kabla ya kuacha kazi aliniambia, nifanyaje? Nikasema sikiliza ridhaa yako, lakini mara ya mwisho...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Mzee Butiku: Narudia maandamano ni haki ya kila mwananchi, ni njia ya kufikisha ujumbe wao

    Mzee Butiku "Narudia maandamano ni haki ya kila mwananchi, ni njia ya kufikisha ujumbe wao"
  5. Q

    PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

    Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano: =================== Mzee Butiku nakuita mara tatu! Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮 👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!? 👉🏽 Hatutaki maridhiano...
  6. M

    BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  7. Madumbikaya

    GE2025 Mzee Butiku: Mchakato wa kupata Mgombea urais CCM mwaka 2025 ulikiuka taratibu za Chama, Lakini tunazidi kukua kama Taifa

    Akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kinachorushwa live leo tarehe 23 mwezi wa 07 mwaka 2025 ,Mzee butiku amesema Mosi,Utaratibu uliotumika kupata mgombea wa urais wa chama mwaka 2025 ulikosewa na haupo kikatiba ndani ya ccm,Alishangaa wajumbe kulazimisha hoja halafu baadae ndio wakaanza...
  8. Roving Journalist

    PreGE2025 Wasira akutana na Jaji Waryoba na Mzee Joseph Butiku, wateta

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali. Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mzee Joseph Butiku: Siasa isichanganywe na dini

    Siasa isichanganywe na dini, sisi tunasema dini iheshimike, dini inakubalika, dini iachiwe nafasi kwa mujibu wa taratibu za dini" -Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mzee Joseph Butiku: Busara itumike katika kutafsiri sheria zinazohusiana na uchaguzi, ili kuondoa misuguano

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameshauri busara itumike katika kutafsiri sheria zinazohusiana na uchaguzi, ili kuondoa misuguano isiyo ya lazima kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  11. chiembe

    PreGE2025 Mzee Butiku ajilipua, asema uchaguzi ni jambo takatifu, lisizuiwe na yeyote, kiongozi au raia

    Lissu amekuwa failure katika ajenda yake ya kwanza akiwa kiongozi wa chadema. Mzee Butiku anasema uchaguzi ni jambo takatifu. Haliwezi kuzuiwa. https://youtu.be/moFRPTLZiJ0?si=wXKDmukBjuS9eenO
  12. N

    BUTIKU: Ndani ya Nchi yetu wapo watu wanapenda siasa ya kihuni

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku amesema siku hizi siasa zitaka kugeuzwa kama mchezo wa kihuni huku akidai kuwa nchini kuna Watu wanaopenda siasa za kihuni. Akizungumza September 10, 2024 amesema kuwa jamii haitakiwi kuunga mkono wanaohitaji...
  13. JanguKamaJangu

    Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane...
  14. J

    SI KWELI Joseph Butiku azitaka Balozi nchini kufuatilia kanuni za Kidiplomasia na kuheshimu masuala ya Ndani ya nchi

    Nimeona barua ya Mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizitaka. Hii ni baaada ya balozi hizo kuanza kuingilia masuala ya ndani ya nchi kufuatia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA siku chache zilizopita. Nimependa sana ujasiri huu, ni lazima hawa...
Back
Top Bottom