john

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  3. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  5. K

    JamiiForums Tanzania John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

    Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu. Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche. Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu. Alibahatika kupata...
  6. JamiiForums Tanzania John Bosco Nchindo (23). Ni Mali ya Simba Sports Club

    Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23). Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport). Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya...
  7. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
  9. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Hayati Rais John P. Magufuli akiongelea tukio la utekwaji wa Mo Dewji na polisi kutochukua hatua yoyote kukamata watekaji

    https://www.facebook.com/share/1ECrkUXYWT/ Hii hotuba ya Hayati John P. Magufuli kuhusu utekaji na upoteaji wa watu inafikirisha sana.. Nimejiuliza swali moja, kwamba, hivi inawezekana mambo ya utekaji, upoteaji na kuuwawa kwa watu wasio na hatia na watu wasiojulikana Rais wa nchi ikawa hajui...
  10. JamiiForums Tanzania John Samwel Malecela alitoka kwenye Uwaziri Mkuu akawa Mbunge wa kawaida

    Tujikumbushe wakuu… John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera. Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge. Lolote linaweza kutokea…
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli daima utajitenga na Uongo: Angalia busara za John Pambalu

    Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli: Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda. Then next page kuna hii: Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu John Mongella Akinukisha Bariadi

    GTs, Ndugu Mongella amesema Mwenyekiti awaachie vijana washughulike na wakosoaji wake awaita hawana akili. Maana yake sijui tutegemee nini sasa kwa akina Mpina na Gwajiboy?
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM fikirieni namna ya kumuenzi Marehemu Kapteni John Komba

    Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi. Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Leo John Heche Anawadharau Watanzania waliopanga Nyumba?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitishwa sana ,kuchukizwa sana ,kushikwa na hasira kali sana na kumchukia sana Heche niliposikia akitoa kauli za dharau na kejeli kwa susan Kiwanga kwa sababu tu aliishi kwenye nyumba ya kupanga. Hii maana yake nini? Maana yake ni kuwa Heche na CHADEMA kwa ujumla...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanaorusharusha vipicha endeleeni, ni suala la muda tu hatujawahi kukosea, tutajaza uwanja

    Wakuu Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
  17. I

    JamiiForums Tanzania John Mrema, tunaomba updates za uzinduzi wa CHAUMMA for Change (C4C)

    Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine. Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Who is John Mnyika?

    John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and his party Secretary General. Early Life and Education Mnyika earned his degree from the University of Dar es Salaam. His early career focused on political activism and development work. He was focused on democratic reforms and governance...
  19. JamiiForums Tanzania John Mrema ni Mwanasiasa mwenye upeo mdogo sana wa ufahamu.

    Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo . Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA. Anaulizwa atoe tafsiri ya neno "No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri John Heche akamatwe haraka na kushtakiwa kwa . matamshi hatarishi yanayoharibu tashwira nzuri ya taifa na Rais wetu

    Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…