Wakuu
Ni muda kidogo sikuwasikia hawa jamaa wa CHAUMMA hadi nikawa najiuliza wameamua kula mafao baada ya kukifanya walichokifanya baada ya kuhamia huko, ila kumbe walikuwa likizo bhana.
John Mrema kupitia ukurasa wake wa X ameandika haya na kuahidi atarudi na mengine mengi zaidi ila cha...
Mkurugenzi wa Uenenzi na Mawasiliano CHAUMMA ndugu John Mrema (Pichani) akisalimiana na mgombea Ubunge kupitia chama hicho Jimbo la Hai ndugu James Mbowe kwenye muendelezo 2a kampeni za uchaguzi mkuu.
Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===
Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema...
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.
Mrema ameyasema hayo katika...
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha.
Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee
Pia soma
Madai ya Heche Pre GE2025 - John Heche...
John Mrema amejisahau kubadili Akaunti ya X, ametumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe.
Amesema Zitto Kabwe ameshindwa kukuza chama cha ACT, kwa Tanzania bara kipo kata 2 tu za Tunduru na mojawapo ipo Kigoma.
Haya yanajiri baada ya Zitto Kabwe kuwakaribisha wanachama wa vyama vingine...
Wakuu
Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa...
Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili.
Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege.
===
"Tunaamini kwamba lazima...
Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.
Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.
Kuliko njia ile ni heri kuishi...
Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma.
Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo.
Aidha, Catherine Ruge...
Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5%...
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kueleza kuwa Akaunti za chama za X (Twitter) na YouTube zimechukuliwa na John Mrema na kudai alikuwa akipata faida binafsi kupitia mitandao hiyo ya chama, Mrema ametoa ufafanuzi upande wake.
John Mrema ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Itifaki...
Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital inamilikiwa na nani?
Kwenye YouTube Channel, kila unapopata hits YouTube inakulipa pesa. Wakafungua...
Huyu mdau , siku si nyongi alifutwa uanachama na tawi alilosajiliwa, leo amekuwa miongoni mwa g55 ambao wametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA, kwa hiyo John Mrema anataka kutuambia kuwa hakufutwa uanachama bali amejivua yeye mwenyewe?
Nb, Niridhani wenye vipara wanakuwaga na hekima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.