john mrema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

    Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa...
  2. Erythrocyte

    Nimesikitishwa na kitendo cha John Mrema kutimuliwa CHADEMA, hakika usaliti ni Laana

    Kitendo cha John Mrema kufukuzwa Chadema ni cha kusikitisha mno, hasa ikizingatiwa kwamba, Mtu huyu tumeshirikiana naye katika mengi ndani ya Chama, (ofisi ya Katibu Mkuu imethibitisha kupokea barua ya kutimuliwa kwake kutoka tawi la Bonyokwa), Hakika laana ya Usaliti inatisha. John Mrema...
  3. Influenza

    PreGE2025 John Mrema: Barua inayosambaa ya kuvuliwa Uanachama wa CHADEMA, hainihusu kwani haijataja namba ya Uanachama wangu

    TAARIFA KWA UMMA. YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAWI LA BONYOKWA. Kutokana na taarifa hizo kuzua taharuki kubwa na kusababisha watu mbalimbali kupiga simu, napenda kutoa ufafanuzi ufuatao; 1. Mimi John Mrema ambaye ni...
  4. Mindyou

    PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama. Kwa mujibu wa barua rasmi...
  5. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Hakuna kikao kilichopitisha suala la kuzuia uchaguzi

    Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
  6. Carlos The Jackal

    John Mrema pamoja na kujua CHADEMA ilihujumiwa kwenye Chaguzi zilizopita lakini bado anataka kushiriki. Ni njaa au ni nini?

    Huyo ndio John Mrema, ambaye anakiri kabisaaa Uhuni wa Uchaguzi kuanzia 2019, ila hapohapo anakuambia tuingie uchaguzin. Anajaribu kutumia Hoja Murua za Viongozi Dini kuunga mkono MABADILIKO YA UCHAGUZI Kisha UCHAGUZI , anaibeba Hoja hiyo, anaibadilisha iwe yake na wapuuzi wenzie ...
  7. Mindyou

    PreGE2025 John Mrema: CHADEMA imeua ndoto za waliotaka kugombea, mpaka 2030 sina uhakika kama tutakuwepo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030 "Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
  8. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Viongozi wa dini wamesapoti G55 "Hakuna kuzuia uchaguzi"

    "Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii...
  9. Mindyou

    PreGE2025 John Mrema: Watia nia na waliounga mkono G55 wanatishiwa na maelekezo yamepelekwa ngazi ya chini kuwa wafukuzwe

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari John Mrema alisema kuwa makada waliosaini waraka wa G55 wanatishiwa na maelekezo yameshafika hadi matawini kuwa wafukuzwe: "Kuna utamaduni mpya umeanza kuonekana ndani ya CHADEMA siku za hivi karibuni, moja ni kuhusu...
  10. Carlos The Jackal

    John Mrema, sawa Tume Iko sahihi, kinachokuwasha nini? CHADEMA haingii uchaguzin bila Mabadiliko, hatuna Mpango huo !!.

    Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME. Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??. Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
  11. H

    PreGE2025 John Mrema atetea Maamuzi ya Tume ya Uchaguziji dhidi ya CHADEMA

    John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi. Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi. Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
  12. J

    PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Akizungumza leo kwenye mkutano wake na vyombo vya habari, John Mrema amesema: "Leo kama ukikosolewa ndani ya chama unawaza kufukuza wanachama wako, tena watiania wabunge waliofanya chama hiki kinapata ruzuku kisa wanatoa maoni na mawazo mbadala hivi ukipewa dola utasikiliza wapinzani wako...
  13. Mindyou

    PreGE2025 G55 wakiongozwa na John Mrema wanazungumza na wanahabari muda huu

    Wakuu, Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari. Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa...
  14. M

    Tetesi: John Mrema kutimkia ACT Wazalendo

    Kuna kila dalili kuwa yule chawa namba moja wa Mzee Freeman Mbowe atajiunga na chama cha ACT kufuatia CDM kususa uchaguzi wa mwaka 2025. Ndugu yangu ninakuomba tu usdhubutu kuja huko kwetu Vunjo kwa maana tunaridhika na kazi nzuri ya Mzee wetu Dr Kimei.
  15. Doctor Mama Amon

    Taarifa kwa John Mrema na G55 Yake: Siasa za Michongo ya 'Wabenzi' Zimemzika Mbowe, Siasa za 'Wabangazaji' wa Tone Tone Zikamwinua Tundu Lissu.

    John Mrema (Kushoto) Freeman Mbowe (Kulia) I. Utangulizi Kundi la watiania 55 ndani ya Chadema, wakiongozwa na John Mrema, limethibitisha kwamba hoja za kikambi zilizoibuka wakati wa uchaguzi ndani ya Chadema bado zinaendelezwa na Timu...
  16. Valencia_UPV

    John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
  17. Upekuzi101

    John Mrema kaisha mapema bado wenzake, hakuna muda wa kupoteza

    Nashukuru kwa kamati kuu kufanya kazi yake vizuri, Msemaji wa G55 MREMA shughuli yake imeisha baada ya kushughulikiwa kikuu, CCM jembe ilo mpeni Jimbo agombee sasa.
  18. econonist

    Tusisahau kuwa John Mrema alishindwa kwenye kura za maoni Jimbo la Segerea 2020

    Napenda niwakumbushe ya kwamba kiongozi wa G55 Bwana John Mrema alipigwa Chini kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA kwenye kugombea ubunge Jimbo la Segerea. Mbowe akambeba na kumsimamisha kugombea ubunge hapo Segerea. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness Lambert...
  19. figganigga

    John Mrema hatujamfukuza CHADEMA. Puuzeni taarifa Potofu

    Siku ya kufukuzwa ikifika mtataarifiwa Habari potofu imeandikwa kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza rasmi kumfuta uanachama Bw. John Mrema. Kwamba hatua hii imefikiwa baada ya kubaini kwamba Bw. John Mrema na kundi lake linalojiita G55 hawana nia njema na...
  20. chiembe

    John Mrema kwa Lissu: kama hatuingii katika uchaguzi kuzuia watu wasife, je watu hao wakitumika kuzuia uchaguzi maafa si yatakuwa makubwa zaidi?

    Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
Back
Top Bottom