john mnyika

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Sitakuwepo kuwakilisha Chama kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

    Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

    Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais Samia hajasema ukweli kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi kuundwa kwa kuzingatia maoni ya Wadau wote

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Urais

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika. Amesema hayo...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Taratibu za Uteuzi wangu zilifuatwa, Wanachadema msiwe na wasiwasi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa ufafanuzi na kujibu hoja kuwa taratibu za Kikatiba zilikiukwa wakati wa uteuzi wake katika nafasi hiyo kwa kusema taratibu zote zilifuatwa na kwamba kinachofanyika ni mbinu haramu na kwamba watazidhibiti. Mnyika...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchome ahoji uhalali wa John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza walichozungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa kwenye kikao chao. Asimamia ajenda yao ya No Reforms No Election

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumanne Machi 18.2025 kimemueleza Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusiana na msimamo wake wa 'No Reform, No Election' Akizungumza na wanahabari nje ya viunga vya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi hizo...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025 Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Siku kama ya leo BAWACHA mlimpa Rais tuzo. Mwanamke mliyemuamini alikuwa mnafiki. Anastahili kuvuliwa ile tuzo!

    Wakuu, Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia. Mnyika kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake amesema kuwa BAWACHA wanatakiwa kumvua ile tuzo ambayo walimpa Rais Samia mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi wa vigogo nane CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna juhudi za kuhamisha mwelekeo kutoka kwenye kampeni ya 'No Reforms, No Election'. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Mnyika amesisitiza kuwa maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA yaliyofanyika tarehe 22 Januari 2025 ni halali, kwani yalihusisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

    Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Duniani Wanahabari wanahimizwa kufanya wajibu wao hata kwenye viti, Tanzania wakazuiliwa mkutano wa CHADEMA

    "Juzi (Jumatatu Januari 27, 2025) ilikuwa nizungumze kama mtendaji mkuu nieleze katika kuingia huku upya katika uongozi kama Katibu Mkuu ni mambo gani ningeyapa kipaumbele kama Katibu Mkuu lakini vilevile ilikuwa niwatangazie watanzania juu ya ujio wa Mwenyekiti, sasa watawala wakaingiwa hofu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu za kiusalama siyo Sahihi Mnyika wa CHADEMA kufanya Press Kesho wakati Nchi ina ugeni mkubwa wa Marais wa Africa. Wageni Wanaweza kuogopa!

    Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu asifu uadilifu wa John Mnyika, namna alivyoendesha Uchaguzi na kumteua tena kama Katibu Mkuu CHADEMA

    Mwenyekiti mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza uadilifu wa John Mnyika na namna ambavyo aliendesha Uchaguzi wa ndani ya Chama. Soma, Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  19. R

    JamiiForums Tanzania Salamu za Pongezi kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele. Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sekretarieti ya Mnyika yakata Majina ya Wagombea 'Wanaoonekana kuwa Kambi ya Lissu'

    Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…