joel nanauka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Waziri Joel Nanauka vitabu vyako na kuongea kwako sasa hivi ungemzidi Modewiji kwa utajiri ila sivyo ndivyo

    Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia. Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi. Sasa huyu bwana Joel ni maneno mengi unaweza kusema jamaa anaweza maisha yake binafsi kumbe sio bora hata...
  2. Sales man

    PostGE2025 Joel Nanauka ndo champion wa mchezo wa jana, huyu ndo kiongozi GEN Z tuliyekuwa tunamtaka

    Sisi Gen Z tunamuunga mkono Joel Nanauka . Asante.
  3. Sales man

    PostGE2025 Ujumbe kwa Waziri wa Vijana, Joel Nanauka

    Mh Joel Nanauka , Hongera unafanya Kazi nzuri Sana . kumekuwepo na mipango mingi Sana , Ila pamoja na yote lipo kundi la Vijana Ambao wameishia darasa la saba na Form four failure . kundi hili ndo kundi hatari zaidi, kwanza limeshakata tamaa ya Maisha na linajiendea tu lipo katika Autopilot...
  4. Kekule Wa Benzene Ring

    Vijana msihadaike na Mawaziri feki kama Joel Nanauka

    Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana). With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali...
  5. Kipenzi Changu

    PostGE2025 Waziri wa vijana Joel Nanauka ashindwa kuwapanga vijana, wampa za uso acheni tu kumsifia rais 'Mshaurini'

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameanza ziara yake ya kwanza kwa kusikiliza kero na changamoto za Vijana Wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga), bodaboda na bajaji katika maeneo ya Tunduma, Mpemba na Mbozi Mkoani Songwe ambapo amewahakikishia Vijana hao kuwa...
  6. L

    PostGE2025 Joel Nanauka - Vijana hatutaki uwe Motivation Speaker

    Wanabodi, Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge. Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili iliyochangamka katika kuhakikisha Kila kijana wa Taifa anakuwa na Ajira yenye kipato cha kueleweka...
  7. Bawabu wa pili

    PostGE2025 CCM inatamba na vigogo wa CHADEMA. Joel Nanauka, kijana mzalendo kutoka CHADEMA na badae kuibukia CCM na leo ni waziri

    JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga mwamba akaona isiwe tabu mwaka huu 2025 ameshinda kupitia chama cha Mapinduzi [CCM]. Na hii ikupe...
  8. McLaren

    Did anyone here ever get inspired by the now "Youth Minister" Joel Nanauka?

    Wakuu, Has Joel Nanauka ever inspired anyone here? Because this is the same man who spent years preaching about self employment, telling young people to stop waiting for the government and create their own path And now look at him proudly walking into a government office as the so called...
  9. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Joel Nanauka ateuliwa kuwa Waziri wa Vijana

    Wizara ya vijana itakua chini ya ofisi ya Rais hivyo Nanauka hatokuwa na msaidizi
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  11. Mama Ametufikia

    Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

    Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka . Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao. Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana . Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Joel Nanauka aibuka kidedea kura za maoni CCM, Jimbo la Mtwara Mjini

    Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
  13. Liutenant

    Nitasimama na Joel Nanauka kama atachukua fomu ya ubunge wa Mtwara mjini

    Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili. Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
  14. joseph_mbeya

    Kitabu cha Core Genius by Joel Nanauka

    Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye...
  15. W

    PreGE2025 Nanauka Foundation yakabidhi kadi za bima ya afya kwa wazee 204, Mtwara

    Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
  16. SSH2025_2030

    Joel Nanauka atunukiwa Doctorate

    Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate kutoka Chuo Kikuu (jina Kapuni) kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni. **New Dr in town
  17. Valencia_UPV

    Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

    I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara). II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na...
  18. Al_Gmx

    SoC04 Reading inspired Tanzanian generation

    I had been waiting for so long since morning, I was very eager to meet him for the first time since I knew him on the social networks a couple of months ago. He then appeared with a bright smile, he was tall and he appeared gentle. He has an athletic body and he seems to be so smart. His name is...
Back
Top Bottom