Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, moja kati ya uwekezaji wa maana na wakimkakati. Pamoja na uwingi wa wagonjwa, hawa jamaa wanafanya kazi kwa weredi, unyenyekevu na kujituma sana.
DR. Tatizo Waane, ni moja kati binadamu wa mfano, licha ya changamoto chache, lakini hii haiondoi ukweli kwamba...