jiwe la msingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  2. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa barabara ya Kagwira – Karema

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA KAGWIRA – KAREMA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya Kagwira – Karema (kilometa 112) katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Mradi huo unatekelezwa na Wakala wa...
  3. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Rais Samia akiweka jiwe la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za sekondari za Amali nchini

    Wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara yake katika mikoa ya huko Kanda ya Ziwa. Baada ya jana kutoa spana kwa Mpina, je leo ataruka na nani? https://www.youtube.com/live/Ylw1BFOHbvw?si=z6Jvqsf1Txr1fUZk
  5. K

    Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la TBS makao makuu Dodoma

    WAZIRI MKUU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA TBS MAKAO MAKUU DODOMA WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la TBS (VIWANGO House) kesho Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa...
  6. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  7. Just Pray

    Waziri mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi bwawa la Kidunda Morogoro

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...
  8. Just Pray

    RC Shinyanga, Anamringi Macha aweka jiwe la msingi Shule mpya ya sekondari Bumva, Kata ya Segese

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha ameweka jiwe la msingi Shule mpya ya sekondari Bumva, Kijiji cha Bumva Kata ya Segese Halmshauri ya Wilaya ya Msalala iliyojengwa kwa gharama ya Sh. Milioni 603,890,563/=. Shule hiyo inatarajiwa kupokea wanafunzi zaidi ya 100 kutoka shule za sekondari...
  9. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aweka jiwe la msingi ujenzi wa Mahakama ya wilaya ya Magharibi B

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesema kuimarika kwa miundombinu ya Mahakama ni hatua muhimu itakayowawezesha wananchi kupata huduma katika mazingira mazuri, salama na rafiki. Ameyasema hayo leo Januari 1, 2025 wakati akiweka...
  11. Ojuolegbha

    Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa msikiti wa Al Ghaith - Morogoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024. Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi...
  12. Roving Journalist

    Waziri Silaa ameweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Sekoutoure iliyogharimu zaidi ya Shilingi bilioni moja

    Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja. Shule...
  13. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  14. Pfizer

    Tabora: Dkt. Philip Mpango aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene Nzega, unaogharimu shilingi bilioni 29.3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu. Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
  15. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Simbachawene aweka Jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jimbo la Musoma Vijijini

    Leo, Jumanne, 1.10.2024, Mhe George Simbachawene, Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ameweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) - Jimbo la Musoma Vijijini Hospital hii imeishaanza kutoa Huduma za Afya...
  17. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia: Hashiriki wetu hawafanyi vizuri Olimpiki kwa kuwa watuna maandalizi mazuri

    https://www.youtube.com/watch?v=Ibe4QGL-jQc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo tarehe 22 Agosti, 2024. Rais Samia Suluhu Hassan amesema kushindwa kufanya vizuri katika michezo...
  18. Roving Journalist

    Wizara ya Elimu yaweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa Mkoani Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri katika kutoa Nishati Jadidifu. Akizungumza Julai 30, 2024 baada ya kuweka Jiwe hilo la Msingi Waziri wa...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi Makao Makuu ya Bandari ya Ziwa Tanganyika, Oktoba 18, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji)...
  20. Ojuolegbha

    Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 25 Mei, 2024.
Back
Top Bottom