Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea
Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa...